Watanzania, tumefikisha TSh. Milioni 300 katika zoezi la kuchangia Baraza Kuu la Umma, tumebakiza TSh. Milioni 34 kufikia lengo letu la TSh. Milioni 334.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB
Bank Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Mwaka mmoja niliwahi jifanya mtu wa ushauri Nasaha, Kuna mama ilikuwa pregnant halafu imelambwa heartbreak,
Ikawa inakuja naipa faraja, na Kutoa matunzo ya mimba hapa na pale, mara ikahamia geto kwangu, nkaishi nayo since Iko na miezi 5 mpaka miezi 8,
Nkawa napata joto halisi, Mali ilikuwa Nshomile Ile hatari sana.
Baada ya miezi nane nkaisafirisha kwenda kwao ikajifungue, baada ya kujifungua, mawasiliano yakawa duni, mara ghafla kumbe walirudiana na jamaa, Mshkaji alikuwa wa hukohuko kwao.
Mwaka juzi jamaa ni Daktari alikuwa ameajiriwa Ruvuma huko, Ile mama inajua kama nimehamia Dodoma ikanicheki kwamba inakuja Dodoma niikatie tiketi Ya Bukoba, nkatimba SATCO nkapata tiketi ya saa 11 asubuhi kesho yake.
So ilikuwa lazima alale hapa, ila nilistaajabu wakati naenda kumpokea nkakuta ana watoto watatu, fikiria mtu niliyekuwa namshauri wamerudiana na wamezaa watoto watatu...
Nitafanyaje Sasa ikabidi nimchukulie room, nkamuacha hapo na watoto wake, sikutaka kupiga🙃🙃🙃