@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
I’ve been following up on Mika Chavala, still held in custody alongside Niffer, A man of faith, a bold activist, and an innocent young soul. May God stand with him. ✊🙏
GUYS, hizi takwimu za Serikali zinatia shaka sana.
LAKE ENERGIES ambao ni waathirika wakubwa wa maandamano kwa vituo vyao vya mafuta kuharibiwa kupitia kwa Mkurugenzi wa Uendeshaji wanasema, nchi nzima vituo vya mafuta vya LAKE OIL vilivyoathirika kwa kuchomwa moto ni vituo 38 nchi nzima.
Umoja wa wamiliki wa vituo vya mafuta Tanzania (TAPSOA) kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wa TAPSOA, Ijumaa, Nov 07, 2025 akizungumza na waandishi wa habari alisema kwamba ni vituo 41 ambavyo vimeathirika kwa kuchomwa moto Tanzania nzima.
TAPSOA walisema uharibifu wa vituo vya mafuta katika maandamano hayo, Dar es Salaam ni vituo 25 (vituo 22 vya Lake Oil na vituo 3 kutoka Oryx, Puma na Rupeez). Nje ya Dar es Saalam Lake Oil ni vituo vya mafuta 16. Hii inaleta idadi kamili ya vituo vya mafuta 41.
Serikali KATILI ya CCM katika taarifa yake inayohusu uharibifu wa mali uliotokana na kitu walichokiita ‘vurugu za Oktoba 2025’ wanataja vituo vya mafuta 672 viliathirika na kadhia hiyo. Tunajiuliza, hivyo vituo vya mafuta 631 Serikali ya CCM mmetoa wapi?
Literally, Serikali ya CCM inatueleza kwamba, wastani katika mikoa 31, vituo vya mafuta 21 vimechomwa moto kila mkoa? Jumla ya vituo vyote vya mafuta nchi nzima haizidi 2,600. Dar es Salaam tu kuna vituo vya mafuta 476. Wanampanga nani kwa takwimu hizi?
Hata hivyo, hakuna uharibifu wa mali ambao thamani yake inaweza kulinganishwa au kuzidi uhai wa binadamu. Serikali inatakiwa kusema idadi ya watu waliouwawa siku na baada ya uchaguzi kwa risasi za vikosi vya Serikali ambazo zimenunuliwa kwa kodi. AUREVOIR.
Daah nimeamka na hii clip nimesisimka. Hawa ndio VIJANA ambao tunaambiwa waliandamana kwa kufuata MKUMBO?
Wakoloni weusi lazima wajue hawa vijana sio watanzania wale waliowaongoza zama za MAWE.
Na hiki anachofanya JOEL - WAKOLONI WEUSI lazima watamzuia maana HAWAKIPENDI.
NB: MBEYA MOJA HIYO.
TUTAKUWEPO🫵😎
MSIGWA KAISHIWA PAWA
PRESS HAIELEWEKI; umeita LOCAL MEDIA kuongelea INTERNATIONAL MEDIA, alafu unalilia WATALII, kisha unaanza PROPAGANDA. Hii ni Dalili KUELEKEA KIBLA.
Unataka Media zifanye kazi kwa “Uwazi, Haki na Uwajibikaji”? Michael Jackson aliimba, STARTING WITH MAN ON THE MIRROR, akimaanisha inabidi uanze wewe. Serikali mnafanya mambo kwa “Siri, Udhalimu, Kutowajibika” alafu leo mnahubiri HAKI na MMEUA WALIO ILILIA HAKI?
Unatoa wapi UHALALI kutamka UWAZI na UWAJIBIKAJI, wakati hadi leo mmeshindwa tamka MAUAJI, fariji WAFIWA? ZERO EMPATHY! Mnaongelea UHARIBIFU WA MALI. Tume inachuguza NGO badala ya VIFO na MATUMIZI YA RISASI ZA MOTO!
Unajisifia umesoma JOURNALISM. Mimi sijasomea, ila mjomba RUDI DARASANI!
Journalism Ethics zinaruhusu in Investigative Journalism TO HIDE YOUR SOURCES. Unashangaa CNN kuficha Identity ya NESI? How Ironic for you to say that, na Serikali yako inajaribu kuleta “SHAHIDI WA SIRI” kwenye Kesi ya UHAINI ya TUNDU LISSU. Na hapo Lissu hajaua mtu ka nyie mlioua WATOTO WA KITANZANIA.
Kwanini NESI asiogope ku-reveal Identity na nyie mmeua MADAKTARI wakitoka SHIFT YA USIKU? Na sasa hivi Nurses na Morticians wanakamatwa kuhusu video za Mochwari…
Waliofanya Uchunguzi waupeleke Tume? Tume imeundwa na SUSPECT na kuipa HADIDU ZA REJEA POTOFU, ndio tuipelekee Uchunguzi, ILI IWEJE? Tume mmeipa Maelekezo ya Kuchunguza “Vijana wanataka Haki gani” na “NGO zilizowalipa” wakati Raia wanataka Majibu na Uwajibikaji wa Nani aliwaua Ndugu zao, na kwanini Miili yao haionekani!
Unasema Watanzania wanataka AMANI? Mtanzania gani huyo kakwambia hivyo? Wote wameniambia wanataka: Haki, Maiti Zao, Uwajibikaji, Katiba Mpya, Uchaguzi Mpya, Lissu, Wasiojulikana, Ajira, Tume Huru, Niffer, Mdude, Soka, Polepole, Mwandambo, Haki za Ali Kibao, SamiaMustGo, Free Press, Makanisa ya Gwajima, nk. Girishoni, You’re out of touch!
Mitandaoni ni WAJANJA WACHACHE? Hivi hauoni aibu kuzidiwa USHAWISHI na WAJANJA 20 kufanya Serikali kuua Raia Wasio na Hatia zaidi ya 1000, including Wajawazito, Watoto, Mawakili na Madaktari?
Eti “tunawaletea MFUKO WA WANAHABARI, Mpate Mikopo kama WASANII.” Yaani huna AIBU unahonga media (BUYING ALLEGIANCE) kwenye Press? Na huo Mfuko wa Wasanii
haujaenda kwa Wasanii wenye uhitaji bali CHAWA WENU.
You have proved your INCOMPETENCE and being an ACCOMPLICE of the CRIMINAL CABAL of the ILLEGITIMATE GOVERNMENT, way you keep blatantly lying to Us. ICC Bound… SHAME ON YOU GIRISHONI
“Akili za kuambiwa changanya na Zako”.. Sisi hatusikilizi mnachotuambia… ZETU ZATUTOSHA
The Leader
Vyombo vya habari mmesifiwa sasa. Hebu tuone na story za upande wa wananchi kuanzia uchaguzi mpaka leo, sio upande mmoja tu. Mmesifiwa kuwa na usawa na uwajibikaji. Yaani Kwa kifupi nyie ni noma. Haya fanyeni kazi basi.
Hakuna kitu kizuri kama kuwa na positive mind, wameleta propaganda ya udini Gen Z wameigeuza kuunganisha dini zao Kwa salamu na matukio..nice move✌️.. Hii nchi haina udini ndio maana waislam tunawaita watuchinjie kuku hata kama hawali
EXCLUSIVE: Our CNN investigation found that Tanzanian police killed protesters, and signs of mass graves used to hide their brutality.
We spoke to more than 100 people, used forensic analysis of videos, and satellite imagery. The govt didn't respond to our detailed questions
Look at Polepole and his brother, Heche and his brothers,Lissu and his brothers….it just shows you what kinda family they come from. Familia bora si lazma iwe mboga 7 na kusoma Cambridge skuls. Anyway family matters a lot na ni msingi wa maendeleo.
Wakenya wamepambana sana wakati nchi ipo Gizani kufikisha ujumbe duniani yanayoendelea Nchi ikiwa gizani.
Sasa MKENYA aliepo CNN @LarryMadowo anapambania yote yaliyofanyika GIZANI anaandaa Documentary ya kuiambia dunia yote yaliyofanyika Gizani kupitia chombo cha habari cha CNN.
Ameomba Watanzania walioathirika na yote yaliyofanyika GIZANI wamtumie Video ya kujirekodi ukiongea na kama una ushahidi wa video au picha vitasaidia sana. Vyote hivi unavituma DM kwake anapokea.
Wakati waandishi wa habari wa bongo kwasasa ni mfano wa MAVUVUZELA ya samia wanachowaza ni kumsifia SAMIA tuu- WAKENYA wanaendelea kutupambania.
Habari, Tafadhali Soma, Na pia Share Nasi majirani na watoto ambao Sahani Moja ya Chakula, Itaweza kuwagusa.
Kwa Pamoja, Upendo Utatuvusha katika Kipindi Hiki❤️🇹🇿
Kuna kituo cha watoto yatima kipo Tegeta Kibo huwa nakitembelea mara kwa mara kinaitwa Al-Markaz Swahilina wanaomba msaada wa chakula namba za kuwasiliana nazo ni hizo 0782517878(Mkuu wa kituo)