@mreno255 Kwenye uharisia wa kawaida ziro gawanya kwa ziro unapataje mbili, na hizo mbili ni Nini, kitu hakipo ugawange kitu hakipo arafu uje update vitu viwili๐๐๐
@ze_mandevu Huko na mambo mobu, huko na mambo mengi, Niko kwa keja nipo geto, una cominicate kwa tenje - kiswaswadu, mtoy-, mtoto, upo na mpoa- upo na mpenzi, mzaye mazazi au maparo, unanget unanipata they Swahili sound so funny, any guy from Kenya get her here