🛑BREAKING NEWS:
OFISI ZA MANGE APP ZAVAMIWA
Vyombo vya Usalama vimevamia ofisi za mtandao wa Mange kimambi wa Mange Kimambi App zilizopp Kinondoni Mtaa wa Togo na kuwakamata Wafanyakazi wote pamoja na kuondoka na vifaa vya ofisi hiyo.
@kigogo2014@mangekimambi@fatma_karume