AFYA NA UTAMBUZI🩺💊
1. Monkeypox ni ugonjwa wa virusi unaosababishwa na Monkeypox virus, ambao ni wa jamii moja na virusi vya ndui (smallpox).
2. Dalili kuu ni homa, maumivu ya mwili, kuvimba tezi, na vipele vinavyogeuka vidonda vyenye maji au usaha.
7. Matibabu ni ya kupunguza dalili, huku dawa za kuzuia virusi kama tecovirimat zikitumika kwa wagonjwa mahututi.
8. Kujikinga ni kwa kuepuka mgusano na waliombukizwa, kudumisha usafi, na kuchanja walioko kwenye hatari kubwa.
NB.CHUKUA TAHADHARI💊🩺
3. Maambukizi husambaa kwa mgusano wa moja kwa moja na majimaji ya mwili, vidonda, au vifaa vilivyochafuliwa.
4. Inaweza pia kusambazwa kutoka kwa wanyama walioambukizwa, kama vile nyani, panya, na popo.
5. Ugonjwa huu hujirudi baada ya siku 2-4 za homa, na vipele vinaweza kuchukua wiki 2-4 kupona.
6. Kinga ya ndui (smallpox vaccine) hutoa ulinzi fulani dhidi ya monkeypox.
5️⃣ Baada ya kujifungua: Mama anahitaji chakula chenye virutubisho.
6️⃣ Maji mengi husaidia katika kunyonyesha.
7️⃣ Lishe bora husaidia kurejesha nguvu ya mama.
8️⃣ Kwa wanaume, lishe bora huboresha mbegu za kiume.
NB.PROBIOTIC NI MUHIMU ZAIDI KWA BABA,MAMA NA MTOTO✅️
Lishe na Uzazi
1️⃣ Lishe bora huimarisha afya ya uzazi kwa wanawake na wanaume.
2️⃣ Kabla ya mimba: Folic acid, chuma, na zinki huongeza uzazi.
3️⃣ Wakati wa ujauzito: Protini, chuma, kalsiamu, na folic acid ni muhimu.
4️⃣ Epuka pombe, sigara, na vyakula visivyo salama.
Avateri-D
IJUE FAIDA YA AVATERI-D KWA WATOTO CHINI YA MWAKA MMOJA.
-Husaidia kuimarisha mfumo wa chakula
-Huongezea nguvu kinga za mwili mbali na magonjwa
-Hufanya mifupa kuwa imara