Tanzania au ATCL imekiri kuwa imetolewa katika mfumo wa shirikisho la kilimwengu IATA jambo lenye mnasaba n uuzaji wa tiketi...sababu deni kubwa
Tuliposema nchi imekimbilia kununua ndege bila matayarisho ya msingi mlitulaani...na yapo mengi
Msidhani kuwa mtatukatisha tamaa au mtatuvunja moyo kwa hizi sarakasi zenu. Tulioasisi harakati za mageuzi na tunaoamini katika mabadiliko ya msingi tutaendelea kusimama kidete pamoja na wananchi wenye kiu ya mabadiliko ambao licha ya vitimbi vyenu vyote, wanazidi kuongezeka!
DAR: Aliyekuwa Mbunge wa Ukonga na kutangaza kujiuzulu, Mwita Waitara achukua fomu ya kuomba kugombea tena ktk Jimbo hilo
> Waitara alijiuzulu na kuhama chama kwa kudai haridhishwi na demokrasia ndani ya CHADEMA pamoja na matumizi ya ruzuku
Soma https://t.co/jROcbecd30
#JFLeo