Daah nimepata file la hawa Marine Special Force unaambiwa ni balaaa…sasa kubwa kuliko kuna siku kamanda wao aliwapeleka Kivukoni pale ye akapanda boti af kawaambia awakute Zanzibar! Unaambiwa kamanda kafika anawakuta washkaj forodhan wanakula pweza! Kamanda akazimia
@Nomakatembo2@itv001@kigogo2014@GillsaInt Sema ukioa umri umeenda hivo sio vizuri
Vijana oeni miaka 25 27
Mtafurqhia raha ya ndoa
Sasa hapo miaka arobaini mnaelekea kuspaya
This is how I made my marriage successful and short-lived as I once wrote a thread here.
Frame 1: Ni idadi ya waliohudhuria ibada ya ndoa
Frame 2: Ndoa ikafungwa
Frame 3&4: Ni mahala ilipofanyika hafla fupi ya sherehe (Sebuleni nyumbani)
Narudia tena NDOA sio lazima mbwembwe ✊
2018- Tz authorities deployed the military to buy cashew nuts... Buy the produce from farmers
-Decline and delayed payments
-Govt denied income on export levy
@meddy_88@DanteThePrince Asians kids wengi don't start from scratch wanakuta misingi fulani ipo hata kama sio mikubwa, sisi wa asili sasa mzazi anakuambia kabisa hii nyumba sio yako tafuta yako...
@shampeignn Kilimanjaro inatokana na neno 'kilema kyaro' ikimaanisha imeshindikana kupanda au difficult journey,kilema haikumaanisha mlima kwa uasili wake.