@CHINGA_KID_ sio swala la hujuma kmmk izi jersey zitatufanya tujielezee sana hakuna jambo hapo 💔 kwani ule unyama wa pre season ulikua na shida gan jaman dah timu itatuua hii 🙌
@Ricky_Mwakilasa@Hansrafael19 Kaka iko chuma hukukitazama vizuri nn mwaka jana kwenye kagame pale KMC? alafu pia kama usajili wake ukikamalika mbavu ya kushoto si atakua yy na Khadim Diaw so balaa litakuepo huo upande wa kushoto