Kuna namna mpira wetu umeshuka kwa level fulani. Misimu miwili mfululizo timu zetu zinashindwa kufuzu robo fainali CAFCL. Ni vile tunajifariji na hizi ranks ila tusipojipanga msimu ujao tutaishia tena hapa hapa. Weka pembeni Azam &Singida. Ligi yetu pia inatufariji sana.
Naamini Miloud atawaambia wachezaji wake waisahau haraka hii mechi hawakuwa na siku nzuri , Kupoteza mipira kirahisi, pasi nyingi mbovu,touch nyingi kwa mchezaji mmoja anapokuwa na mpira, kasi ndogo ya maamuzi kwenye eneo huru.
Ndio football sio kila siku utakuwa na siku nzuri.
Tarehe mpya ya Kariakoo Derby ni 15 May ila kuna upande ambao bado haupo tayari kucheza mechi,bado mwezi mmoja tujipe muda labda watakubali.
Halafu ule uchunguzi tuliambiwa unafanywa bado haujamalizika?Nilifikiri tutapewa majibu ndipo tarehe itangazwe.
NB:
Binafsi penalty zote walizonufaika nazo simba si halali.
1.Kwa angle tuliyopata mpira uligusa kifua cha Abdulnassir ndipo ukagusa mkono which sio penalty.
2.Hakukuwa na contact baina ya Abdulmalick Zakaria na Shomari kapombe ...hivyo mwamuzi kefa kayombo kawaonea Mashujaa.
Maneno haya si mageni jijini..Alishawahi kuongea Pochettino, Mourinho,Conte,Andre-Villas na wengine wengi..Hii timu ya Spurs ina shida kubwa sana...Na kwangu binafsi siwaoni spurs kama timu kubwa.
Kama dirisha litafungwa leo usiku na Man City hawatosajili kiungo atleast mmoja basi hizi shida wanaweza kuendelea nazo for the rest of the season ..Narudia tena Kiungo Chao ni dhaifu mno hakina sifa zaidi ya ufundi hakiwalindi mabeki..etc
Honestly Man City hawana makali tena kwa sasa hivi... sifa yao ya pressing hakuna tena...angalia reaction ya pep baada ya kufunga goli ππ.. huu mchezo wenyewe hawajiamini kama wataushinda... dirisha dogo watalishambulia haswaπ
Honestly Man City hawana makali tena kwa sasa hivi... sifa yao ya pressing hakuna tena...angalia reaction ya pep baada ya kufunga goli ππ.. huu mchezo wenyewe hawajiamini kama wataushinda... dirisha dogo watalishambulia haswaπ
Timu bora uwanjani imeangusha alama 2(Tp mazembe). Confidence ya wachezaji wa Yanga iko chini sana nadhani hata Mazembe walikuwa wanashangaa namna ilivyo rahisi kukabiliana nao.Alama 1 inaweza kufufua matumaini ikiwa yanga watareact positively kuanzia nukta hii π₯
Football huwa inaamuliwa kwa moments chache sana set piece & second ball zimetosha kuwaadhibu simba ndani ya dakika chache. So far top performance kwa vijana wote 22. Ateba & Benchaa isolated strikers ila muda wote wananyima utulivu mabeki wa kati. (Benchaira ,Ngoma π₯)
Ramovic anataka zaidi kuutanua uwanja kwa kutumia wingers huku FB wakishambulia ndani kuwatengenezea wingers 1v1 pembeni ili kumlazimu mpinzani kuzuia eneo kubwa na kufungua space ndani..Swali Je kati ya pacome,Max,aziz,Chama nani anaweza kufanya hayo majukumu?
Nani abadilike