BREAKING: Taarifa toka ndani ya CCM (mmoja wa Mawaziri) ni Kwamba, Uongozi wa CCM umepokea $2 BILLION toka DP World kwa ajili ya Uchaguzi wa 2025. Mwakani wataongezewa $3B nyingine operation za bandari zikianza. Loliondo ni sehemu nyingine iliyotumika kupokea fedha.
@Mickeysa6 It is against the law of nature for the parent to burry her children. But her time for departure has arrived, she to go , you to live as to which one is best God knows.
💔😭
Thank you for the 5 years we spent together, the ice-cream moments, the outings, the ask Mkhulu to bring me chips. The demanding of new clothes.
After seeing you yesterday lying so peacefully with a smile. I was happy, I know you fought and now you no longer feel pain🤍🕊️
Wananchi wa Lamadi na Mkoa wa Simiyu ahsanteni kwa mapokezi makubwa mliyotufanyia. Imekua faraja kuona nyuso zenu za furaha na matumaini kwa CHADEMA na taifa kwa ujumla.
Sisi kama chama kikuu cha upinzani tunaendelea kuongoza mapambano ya kupata Katiba Mpya,
Leo, Ijumaa, Januari 13, 2023 nitazungumza na Watanzania na Dunia kwa ujumla, kwa njia ya mtandao kuanzia saa 12 jioni. Sikiliza hotuba hii katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii.