Macho kwenye mapene. Jana nimeachia slip 2 zote BOOM. Nalisha mitaa na kushugulika na VICHAA. Nina Kazi mbili tuu tangu nizaliwe upya kutoka MBUGA YA KATAVI.
WANANCHI alama tatu muhimu dhidi ya Mtani, pongezi kubwa kwa benchi la Ufundi na Wachezaji, jiji limetulia hakuna kelele wala mvua, hali ya hewa shwari na ilikuwa siku maalum kushuhudia mechi ya Kariakoo.
Inasalia mechi muhimu na nzito kwangu kuanzia nikiwa Shabiki jukwaani kama ninyi mpaka sasa ni Kiongozi, malengo ya hii klabu kubwa, matamanio na mahitaji ni sehemu ya maisha yetu, baada ya miaka mingi tupo kwenye historia ya Mtani kukubali nje ndani, alama sita na mabao saba.
Kutengeneza timu tishio kama hivi sio mchakato wa muda mfupi, sio kulala na kuamka nasi tunasema asanteni sana WANANCHI kwa support yenu.
Nimepost saa sita kasoro masaa mawili, kesho tuamke saa mbili na Wananchi tutembee wawili wawili In shaa Allah.
Zanzibar hakufugwi Simba, kuna ARAFAT, MUDA, BACCA Na SHEKHAN
Makamu : Remija unajua una kismati sana kwenye kutabiri mechi kubwa za Yanga, haya tupange mwanangu matokeo ya leo.
Remija : Kaka relax, Makolo wamejitahidi sana na ulozi wao huko Zanzibar basi wataambulia 1-1, ila matokeo yangu nimeona 2-1 na Yanga bingwa 2024.
Makamu : Remija unajua una kismati sana kwenye kutabiri mechi kubwa za Yanga, haya tupange mwanangu matokeo ya leo.
Remija : Kaka relax, Makolo wamejitahidi sana na ulozi wao huko Zanzibar basi wataambulia 1-1, ila matokeo yangu nimeona 2-1 na Yanga bingwa 2024.
One-man team baada ya kumpoteza mtu kama Prof. Nabi ingeonekana kabisa kupwaya. Ila ukiona pengo lake linazibwa paap na uchu wa aliyechukua nafasi yake jua hapo kinachojengwa ni taasisi. Haiishii kwa kocha tu bali kwa uongozi wote wa juu. Heshima yenu @Arafat__AH@Caamil8
Mahitaji yameongezeka sana.
Nimeongea na @CRDBBankPlc kuhusu kuongeza huduma za tawi na ATM Kigamboni. Tunawakaribisha. Tupo tayari kuwapa ardhi.
Nawashukuru @NMBTanzania kwa kuongeza ATMs na kusudio lao la kujenga tawi jipya katika makao makuu ya Wilaya Gezaulole.
@amnsekela
Wakati ratiba ya ligi inatoka nilisema walitutega Yanga makusudi kwenye mechi mfululizo vs Azam vs Singida vs Simba wakiamini tungedondosha alama, ilikua ni ratiba ya kimkakati sana. Ona Mungu, tumetoka na alama 9, hawaamini macho yao. Kipenzi cha TFF kalamba 5 wamechanganyikiwa