Kwenye list yangu ya gari 7 ngumu za binafsi (kibongo bongo) nazani hii itakua ipo kwenye top 3-6. Very solid ๐ชจ
Yes, haivumi saana lakini hauwezi ukaikuta imetaka ama kutelekezwa garage
Tuangalie mawili ma3 kuhusu hii gari inaweza kuwa kwenye list ya gari zako pia
UZI ๐งต๐ฅ๐๐ฝ
Naomba kujua๐
Kama mtu akitaka kuanza biashara ya kununua na kuuza dhahabu kwa mtaji usiozidi 100M azingatie nini na nimaeneo gan hapa Tz yanaweza faa biashara ikatembea๐๐ค๐ค๐ค๐ค
Why is Zanzibar a must-visit destination?
Here is a list of some activities that showcase the beauty of Zanzibar.
1. Tortoise Sanctuary (prison/Changuu island)
@fbuyobe Sasa mbona unatushauri twende na hizo "Mwakasege" "RC".... etc?. Kitu kimoja ni uhakika "Kama una muamini Mungu basi ni lazima uwe na madhabahu ya kumuabudia na NI LAZIMA hiyo ibada iambatane na SADAKA
@mulansix @fbuyobe Tangu mwanzo mpaka ufunuo.... Mungu amekuwa akisema kuhusu kutoa sadaka. Kaini na Abeli.... Abraham na sadaka ya mtoto..... Mungu mwenyewe na sadaka ya mwanae pendwa "Yesu". Sasa unapata wapi nguvu ya kutenganisha sadaka na madhabahu
@MagoigaS@fbuyobe Lakini si unajua kuwa "karama za Roho" zinatofautiana baina ya watu? Wapo waliopewa "neno la miujiza" na wakanyimwa "karama ya kusema neno la Mungu" 1 Korintho 12: 1-30
@fbuyobe Hata hao wapagani na waumini wa "madhehebu pendwa" wanatoa sadaka na wkt mwingine zinakuwa kubwa na zenye sacrifice ya juu sana kuliko hawa "Maskini"
@fbuyobe LAKINI WOTE TUNAKUBALIANA HAKUNA IBADA INAYOKAMILIKA BILA KUTOA SADAKA... Sasa unataka hiyo sadaka itumike wapi? Kama sio katika maisha ya kila siku ya hao viongozi wa makanisa.
Popular E-commerce platforms in 2024:
๐บ๐ธ Amazon, USA
๐จ๐ณ Alibaba, China
๐ฏ๐ต Rakuten, Japan
๐ฉ๐ช Zalando, Germany
๐ฌ๐ง ASOS, UK
๐ซ๐ท Cdiscount, France
๐ฎ๐ณ Flipkart, India
๐ฐ๐ท Coupang, South Korea
๐ฆ๐บ eBay, Australia
๐จ๐ฆ Shopify, Canada
๐ง๐ท MercadoLibre, Brazil
๐ท๐บ Ozon, Russia
๐ฒ๐ฝ Linio, Mexico
๐ธ๐ฌ Lazada, Singapore
๐ฎ๐น Yoox, Italy
๐ณ๐ฑ Bol .com, Netherlands
๐ช๐ธ El Corte Inglรฉs, Spain
๐ธ๐ช CDON, Sweden
๐ฎ๐ฑ Shufersal, Israel
๐ฆ๐ช Noon, UAE