Kitila anasema bila kupambana na CCM hakuna namna tutapata #KatibaMpya anasema CCM wanatumia ubabe kama nchi nyingine za Afrika
Kitila anasema bila kutoa CCM madarakani hakuna katiba Mpya tutapata, Wananchi ndio chimbuka la katiba sio serikali au chama Tawala
Kihistoria muda wa kitu ukifika hauwezi kubadili tena.
Tangu zamani..
Muda wa biashara ya utumwa kukomeshwa ulipofika haikuwezekana kuzuia tena.
Muda wa uhuru ulipofika wakoloni walilazimika kuachia hizi Nchi, hata walipojaribu kutumia mabavu haikuwezekana..
Moyo wa wananchi umeishakataa CCM, Muda wa ccm umekwisha, bunduki, mabavu, mauji na utekaji haviwezi kubadili hali hiyo.
Kucheza na hisia za wananchi na mioyo ya watu ni kucheza na moto.
Uhalali wa serikali dhalimu hauwezi kuletwa na bunduki.
Walipanga kuiba pesa BoT kwa AKA Mikopo
Wameshapiga sana pesa ya mikopo kutoka nje.
Kelele za mwizi zilipokuwa nyingi wakarudi nyuma,
Huyu ameletwa kwa hazina kwa kazi moja tu, kuweka mianya ya wezi na kuchepusha fedha kwenda Zanzibar
‼️ALERT ‼️
Huyu kwenye hii clip ni Sheikh Ubwabwa, Mwaipopo akiwa kituo cha Polisi Shauri Moyo Nairobi hii ilikuwa Mwaka 2022
Mwaipopo alipowaomba pesa Watanzania (Waislam) ambao wanaishi Oman aliwambia anaomba pesa kwa ajili ya kulipa Mawakili na kuhonga Polisi wa Kenya ili wamwachie huru, sasa alipoona ni kama watu wa Oman wamemshtukia ikabidi arekodi hii video na kuwatumia Watanzania walioko Oman ili wamuamini.
Hapa alikuwa bado hajajua kama wenzake washajua kwamba kesi yake sio ya Ugaidi na yeye alikuwa amekomaa kusema anatuhumiwa kujihusisha na Ugaidi kwasababu ya dini, wakati ukweli ni kwamba ilikuwa ni kesi ya utapeli wa fedha na wenzake walikuwa shajua.😂😂😂😂
Mwisho wa siku alivoona watu wote wamempotezea ilibidi atafute njia alirudishe pesa zote alizotapeli watu ndo akaachiwa.
Imagine huyu Tapeli ndo Nduli Idd Amin Mama anamtumia kutukana, kutisha na kushambulia wakosoaji wake.🚮