@RevocatusMagum1 Ni haki yake kuipenda au kutoipenda ingawa kwa akili ya kawaida tuu anabaki kuwa mjinga maana kujenga chuki na taasisi ambayo haina hisia ni ukichaa na ujinga kiwango cha Pro max
@fgdewji Ningekuchagua wewe @fgdewji na swali langu lingekuwa namna wazo kubwa linavyoweza kuanza katika picha ndogo mpaka kufikia lengo lake la kuwa wazo kubwa na chapa bora kabisa sokoni.... ?
@ayubu_madenge Ingependeza zaidi ukafanya SPACE mjadala uwe wa moja kwa moja na sio mbaya ukaanda walau kwa matangazo ya siku kadhaa ili tupate wadau wengi watakaoshiriki moja kwa moja kupitia forum hiyo
@Labella_Mafia95 Mwanamke ndio mkubwa hapo sababu kuu inatoka na nature ya kuumbwa kwetu wanawake wametuzidi wanaume zaidi ya mara 5 katika kufikiri na kutenda wao ni bora na hii inathibitishwa na hata kwenye maisha yetu tu ya kawaida