Update: Tulienda kwa Bibi yetu, ili kumlipa fundi wa umeme ambae alifanya wiring kwenye nyumba ya bibi, na kumalizia malipo mengine ili tuweze kupata control number kutoka Tanesco tulipie ili Bibi yetu aweze kupata umeme.
_
Baada ya hapo tayari fundi anachonga kitanda kipya na meza ya kufanyia biashara, muda sio mrefu ataanza kufanyia biashara nyumbani hata toka tena kwenda kuuza ndizi.
_
Mungu awabariki sana wale wote ambao mlitoa Sadaka zenu ili kubadirisha maisha ya huyu Bibi, Mungu aliwaandaa kwa ajili ya watu wake wanaomlilia kila inapoitwa leo, Mungu hawezi kushuka ndio Maana anataka sisi tumuwakilishe kwa watu wake na tunapomuwakilisha Yeye anasema tumemkopesha, kwa hiyo tutarajie malipo makubwa kutoka kwa Mungu wetu aliye hai.
_
Amhurumiaye maskini humkopesha Bwana; Naye atamlipa kwa tendo lake jema. - Mithali 19:17
🚨🏆 OFFICIAL: Pep Guardiola has now won 20 TROPHIES in 10 years at Manchester City.
🏆 1x Champions League
🏆🏆🏆🏆🏆🏆 x6 Premier League
🏆🏆🏆🏆🏆 x5 League Cup
🏆🏆🏆 x3 FA Cup
🏆🏆🏆 x3 Community Shield
🏆 1x UEFA Super Cup
🏆 1x FIFA Club World Cup
@Semkae Don't blame Intelligence Agency on the issue they don't have power, kama wameshauri na hamjasikia mnataka wafanyeje? maana wao hawaamui ila anaye amua ndiyo anachagua afanye kipi.