Sema vyuoni mabinti wanachapika wazee, yani mwaka wa kwanza hadi anamaliza unakuta anaishi na mhuni ghetto.
Yani mhuni anaamka nayo , anashinda nayo na kuna muda anakesha nayo..
Baada ya hapo kijana flani hivi amelelewa vizuri, anakuja kumuoa huyo binti..
Dunia haina huruma.