@INFLUENCERjr Kaka hivi Kwanini mnapigana na @chapo255 kisa wanawake
Watu wazima mnashibdwa kubehave
This time mkienda lockup sitoi dhamanaaaa
Badilikeni
SIYO lazima uweke comment mbaya kwenye post yangu ndipo nikublock. Hata kule Jambo TV nikikuta una-support mambo ambayo yanapinga haki na uhuru wa jumla wa watu, nitakublock huko huko. Asante.
Yote yalishasemwaโฆDIZASTA VINA #TZHipHop
โHata kwenye vyumba vya Wasomi maarufu, vyeti walihodhi maradufu, niliwahoji kuhusu ubovu wa meli, wengi walijua ubovu lakini walisema haiwahusuโ
Nipigie simu dear friend, nadhani kuna jambo muhimu unalo ambalo linaweza kutuunganisha ghafla. Karibu Arusha for coffee.๐๐๐๐๐
Much โค๏ธ