Kuna wakati unapata fursa ya kujua mambo ya Ndani sana ya mtu, dhumuni sio ili upate stori za kusimulia,bali Mungu anakupa fursa ya kujifunza kwa vitendo ili na wewe usikosee. Usipojifunza ukageuza kuwa stori unapoteza wewe zaidi kuliko unayemzungumzia.
See You At The Top