@TitoMagoti 2/2...
Leo tena wanapita mulemule.."kabla ya chaguzi 29/30" halafu watu wanaona eti Kuna busara imeonekana๐ฎ๐ฎ. Tunapelekwa machinjioni kwa njia ileile na hatushtuki!๐.
Binafsi sitaki kusikia chochote kutoka kwao. Nataka kuona HAKI za ndugu zetu Oct29, Waliopotea na Kufungwa.
@TitoMagoti 1/2 Nikama tumerogwa. Hawa watu walishawahi kuahidi kwamba "Chaguzi za 2024/ 25 zitakua huru na haki" baada ya Mwendazake kwenda zake. Walikua na kila maneno sijui "utashi wa Kisiasa sijui takataka gani" lakini baadae Oct29 ikaenda na uhai wa ndugu zetu, kinyama kabisa. Halafu..
@TitoMagoti Watu wanajazwa kwenye mfumo kitoto sana na wanajaa. Yaani unashikilia watu ndani mpaka zaidi ya mwaka, then mnakuja kuwaambia watu Haki hivi Haki vile, amani sijui nini, really? Na watu wananunua matumaini hewa! WTF!