Hujambo, mimi ni Lusekelo Meda. ๐น๐ฟ
Mimi ni mwanaharakati wa mazingira na mjasiriamali kutoka Tanzania.
๐ฑ Mwanzilishi wa Meda Millions 2080 โ tukipanda miti kwa ajili ya kizazi kijacho.
๐ Mwanzilishi wa Meda Kuku Max โ tukiamini kilimo na ufugaji vinaweza kupambana na umasikin
Saikolojia ya watu wasiopenda kupokea simu ๐ฑ๐ง
1. Wanapenda kudhibiti muda wao.
2. Simu za ghafla huwapa presha.
3. Wanathamini nafasi yao binafsi.
4. Hupendelea ujumbe kwa sababu huwapa muda wa kufikiria kabla ya kujibu.
Usihukumu haraka; kutopokea simu si lazima kumaanish
1. Mafanikio sio mchakato wa siku moja.
2.Mafanikio yana gharama ambayo macho hayaioni.
3.Kila mtu ana zamu yake ya kula keki ya mafanikio.
4. Utakapo fanikiwa inua wengine ili siku ukiteleza wao wakuokoe.