@GigsMaestro7@thisistemidayo Shule ni kitu muhimu sana!! Hivi ulitaka mwandishi amuulizie nani? Mwandishi yupo sahihi kauliza mtu ambaye anajulikana!! Ndio maana hata wewe umemjua kuwa mtoto wa mbowe!!. Hata kamanda amemtambua kwa uraisi zaidi ndio maana kaa sema sisi hatujamkamata.! Rudi shule dogo
@Chizzodrama Mjinga mpe ukweli akuchukie!! Upo sahihi ๐ฏ. Hawa jamaa wanakelele sana wakiwa kwenye ๐๏ธ utulivu ni zero!!. Kwa kweli kila nikijilazimisha kusikiliza hiki kipindi nashindwa!!. Ktk vipindi vimetulia wasafi fm ni vile vya asubuhi hadi saa tano. Ikifika saa sita ni vurugu tu
@fumbokhanJr Unayo kadi ya simba?? au ndio walewale mavamizi!!. Huna msaada kwa team kuchangia wala kununua jezi alafu unatumia lugha ya kujimilikisha.