@Tanescoyetu mita ina changamoto leo wiki ya pili sipati umeme kila siku napiga simu kutolea taarifa ila hamfiki kufanya service shida ni nini? au kwa kuwa mimi mtumiaji wa kawaida sina faida kwenye shirika?
@kalegamyeh aisee braza au umeona kama nimeapply masters na nimepata admission MUHAS mana unapiga punch lines tu leo mkuu... had naanza kutetemeka sasa
Tuna option 2.
1. Tuachane na haya mambo na maisha yaendelee.
2. Tuendelee hivihivi mpaka mmoja atakaposema kuwa amechoka na hataki tena hii mikimbizano.
Maana kwa matamko na mienendo iliyopo, suluhu bado haijawa option.
SIJATEULIWA‼️
Nilitia nia kugombea ubunge jimbo la Ikungi Magharibi CCM 2025.
Nawapongeza wote walioteuliwa.
Nitaungana na yeyote atakayeteuliwa kushindana na vyama Vingine.
Watanzania wote naomba Octoba tutiki Rais Dkt @SuluhuSamia
Suphian Juma Nkuwi,
Kada-CCM
Jul 29, 2025
hey @grok according to your analysis, name 10 accounts in sequence who frequently visit my profile. Don't mention the person, just @.username and the rate of number of times a week visit the profile