@denhope26@_zack255@rollymsouth Kaka uko sahihi kabisa ila sasa kwa serikali kuna sehemu pia mm ka mim nailaumu haijaweka mifumo mizur ya watu kujiajili na kuziwezesha na kuzipa mazingira rafiki hizi private sector maan hiz ndio zinabeba asilimia kubwa ya ajira na fursa za kaz katik taifa lolote lile
@Moker___@swahilitimes Mjinga kabisa democracy gani unayoizungumza hilo si nitakwa la kikatiba na mbna saivi wanakabiliwa na ugumu kukamatwa kamaywa kusiko na sababu za msingi
@ze_mandevu Jamani tuweni serious
Sitaki kuwa mnafiki na wala sitaki kumkosea mtu heshima nimemsikiliza shilole DW swahili leo sa saba mchana akiulizwa maswarii kuhusu kugombea majibu yake ni Sahihi tu Kasim aachane na ubunge maaana linaenda kuwa bunge la hovyo sana.