UKIRI WA SIKU.
NAIBARIKI JUMAMOSI YANGU.
Na wote watajua Mimi ni Mtu wa Kuhesabu MAPATO, Jumamosi NITAKUSANYA, kilichozalishwa kwa Wiki ili nijue cha Kumtolea BWANA.
Mimi Nimebarikiwa na BWANA.
UKIRI WA SIKU.
NAIBARIKI ALHAMISI YANGU.
Na wote watajua; Vitamanikavyo, Vinavyopendeza, Vilivyo Vizuri, Vilivyo Tukuka na Vyenye Kuvutia, Vilivyojaa Utukufu VITAPATIKANA KWANGU, maana Mimi NIMEBARIKIWA na BWANA.
Asante YESU.
UKIRI WA SIKU.
NAIBARIKI JUMATATU YANGU.
Naibariki Jumatatu yangu maana Mimi Nimebarikiwa, na BWANA amenibariki hivyo nitakuwa MSHINDI kuanzia Jumatatu.
Haleluya, Asante BWANA wa Mabwana.
YESU ni Mzuri.
UKIRI WA SIKU.
NAIBARIKI JUMAMOSI YANGU.
shetani UMESHINDWA; Mimi SIFI kwa magonjwa au ajali wala kwa mapenzi ya yule mwovu ama ya wanadamu. Nitamaliza Safari Yangu SALAMA na NITAFIKISHA UMRI ambao BWANA amenipangia ili WASHINDI!
Mimi na YESU wangu tu WASHINDI, kwendaa, kwendaa shetani.
Asante MFALME wa Wafalme.
Oooh, YESU ni Mzuri.
UKIRI WA SIKU.
NAIBARIKI IJUMAA YANGU.
shetani UMESHINDWA; Mimi na YESU wangu tu WASHINDI, kwendaa, kwendaa shetani.
Asante MFALME wa Wafalme.
Oooh, YESU ni Mzuri.
UKIRI WA SIKU.
NAIBARIKI JUMANNE YANGU.
shetani UMESHINDWA; kwenye Ndoa yangu UMESHINDWA, kwenye Familia Yangu UMESHINDWA, Kwangu UMESHINDWA. Mimi, Familia Yangu na YESU wangu tu WASHINDI, kwendaa, kwendaa shetani.
Asante MFALME wa Wafalme.
Oooh, YESU ni Mzuri.
UKIRI WA SIKU.
NAIBARIKI ALHAMISI YANGU.
Mimi NIMEBARIKIWA. Hakutakuwa na kulala Njaa au kubangaiza Chakula bali nitakula VINONO.
Asante BWANA wa Mabwana.
YESU ni Mzuri.
NENO LA SIKU
Na, Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira — Kanisa la Efatha
TAREHE: 24/06/2026
SOMO: CHAGUA KILE UNACHOKISIKIA
Amua kubadilisha mtazamo wako kuhusu kile unachokisikia. Tamani kusikia mambo yatakayochangia ubora na maendeleo ya maisha yako. Jifunze kuwasikiliza na kushirikiana na watu ambao wamefanikiwa na kustawi katika mazingira yale yale unayoishi wewe.
Linda ufahamu wako kwa kuchagua kwa makini habari unazoziruhusu ziingie ndani yako. Epuka kujaza akili yako na taarifa zinazojenga hofu, kushindwa au uharibifu. Ikiwa mtu anasisitiza kusimulia habari za kushindwa, migogoro au kuvunjika kwa maisha, usiruhusu maneno hayo yajenge mtazamo hasi ndani yako.
Biblia inasema kwamba imani huja kwa kusikia. Hivyo, kile unachokisikia mara kwa mara kina nguvu ya kuathiri mtazamo, maamuzi na matokeo ya maisha yako. Jiwekee malengo yako wazi: unataka kuwa nani, kufika wapi na kufanikisha nini katika maisha yako.
Clean lines. Open space. Better living.
A seamlessly integrated kitchen designed to fit beautifully into everyday life.
Maximize your space. Optimize your health.
KitchenFit, FIFA World Cup
Hisense, Innovating A Brighter Life.
UKIRI WA BARAKA ZA SIKU.
NAIBARIKI JUMANNE YANGU.
Familia yangu itasonga mbele haiwezi kurudi nyuma. Kwetu kutakuwa Kwema, hakutakuwa na magomvi wala magonjwa wala vifo, wala ukata. Maisha yetu yatakuwa mazuri kwa kuwa tumebarikiwa na BWANA.
YESU Asante.