@moshijnr Halafu Kuna Young Africans SC , siku zimeenda hata mpango wa kucheza mchezo wowote hawana wanakaa wakisema namba 6,6666, wenzao Simba SC wamefanya vizuri kushiriki kagame ili wapate game momentum, naona tarehe 12 Yanga SC 0:3 Simba SC
Aliyempa huyu jamaa jina la Mbappe katukosea sana
Sijui ni mazoea ama uoga ila huyu jamaa binafsi sijui ubora wake upo Wapi kama mshambuliaji (KAMA MSHAMBULIAJI)
Ni version ya KIBU D, ana offer energy na ni mzuri timu isipokuwa na mpira
NB ... Mshambuliaji akianza kupewa sifa za beki tia Shaka๐
@YoungAfricansSC Timu inacheza bila morali, wanasubiri wafungwe ndio wajitume,hakuna mchezaji hata mmoja mwenye commitment it's like wanacheza Bure hawalipwi, timu kama vile Haina kocha , timu Haina management wanajichezea tu kama wanacheza kombolela๐
๐จPale Simba Sc huwezi ukakuta mchezaji analewa namna hii kipindi kama hiki timu zimerejea uwanja wa mazoezi.
Kiufupi tu majirani zangu wachezaji wenu hawana hamu ya mafanikio tena na ndo maana ubora umeshuka walishashinda kila kitu unategemea nini hapo?
Fukuzeni hawana msaada