Bana public speaking ni skill aisee, unaeza kuwa Mtoto wa Rais, Mkuu wa Majeshi, tajiri lakini ukisimamishwa kuongea mbele ya watu unaonekana bure kabisa.
Pongezi kwa Klabu ya Simba kwa ushindi dhidi ya watani wenu wa jadi, Klabu ya Yanga, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Wakati wote mchezo baina yenu (Dabi ya Kariakoo) na kwa hakika michezo kwa ujumla, inaendelea kutupa burudani huku ikiimarisha umoja na mshikamano wa Watanzania wote.
A doctor bursts into tears in front of a 10-year-old girl whose arm was amputated without anesthesia 💔
She picked up her arm from the ground and said: Put it back.😥
What is happening in Gaza is worse than any nightmare 💔
Hili ni Ganda la Risasi lililotumika jana kushoot raia katika maandamano Risasi hii imetengenezewa zimbabwe mwaka 2010 cha ajabu jana imetumika katika maandamano kwaajili ya kupiga raia?
""Mama yake milionea alimfata kitale kukwambia naomba mali za mwanangu na vitu vyake maana alikuwa maarufu kitale akampigia meneja wa shalo meneja akawapa funguo kufika kwake shalo alikuwa na jeans mbili na godoro na alikuwa analala chizi oya 😢"" https://t.co/06gYtZGLjY
Zamani kulikuwaga na ma T.O halafu kulikuwa na Elias Kihombo. T.O wa 2006 ambaye alikacha chuo na kugeuka kuwa mwalimu wa Tuition Physics na Chemistry wa shule kubwa Tanzania.
Ziara yake mashuleni ilikuwa ni kama Waziri wa Elimu, madarasa yalikuwa yanafurika mpaka hakuna nafasi ya kukaa ili wanafunzi wapate mapindi. Anakumbukwa kwa lugha yake ya ucheshi wakati wote iliyojaa ujivuni, akipenda kuwaita wanafunzi "Nyumbu" na kusolve maswali kwa njia nyingi na rahisi hadi za wale aliokuwa akiwaita Manyumbu wasioelewa 😃😃
Mimi nilikuwa mmoja wa wanafunzi wake pale Karatu Boys nilikuwa Nyumbu wa Chemistry. Taarifa zinasema akifariki mwaka 2020 kwa maradhi. Rest in Peace Kihombo.