Kwa Ulimwengu wa Sasa, hakuna Rafiki Wala Adui wa milele..! Bali Kuna watu ambao utaishi nao katikati mazingira tofauti..! Kuna mazingira watakuwa marafiki wako..! Mazingira mengine watakuwa Maadui..! JIFUNZE..!
Mwenyekiti wa Chama cha @ACTwazalendo Ndg. @othmasoud akifurahia jambo na Askofu @EmmausAskofu kwenye Iftar aliyoiandaa katika Hoteli ya Peacock jana tarehe 12 Machi 2025.
@ccm_tanzania Wananchi na chadema tumekubaliana uchaguzi haupo nyie mnaendelea kutoa hiyo alogani yenu nyie Kama yanga tu match imeghairishwa nyie mnatoa kikosi na kufika uwanjani #noreformsnoelection
@Sirjeff_D Mtu anayeteswa na maisha kiuchumi huyu bora aendelee kuishi hata kwa hayo mateso aliyonayo lakini kwa yule anayeteswa na Maisha "mgonjwa"kalazwa zaidi ya miaka 5 huyo bora afe maana maumivu yake yanawathiri wengi
Klabu ya Al Ahly imegoma kushiriki mechi yao ya dabi dhidi ya Zamalek ikisisitiza kuwa Shirikisho la Soka la Misri (EFA) linapaswa kuteua mwamuzi wa kigeni badala ya kutumia waamuzi wa ndani. Ahly imetishia kujiondoa kwenye Ligi Kuu ya Misri endapo ombi lao halitatekelezwa.
Dabi hiyo ilikuwa sehemu ya hatua ya mbio za ubingwa lakini EFA ilitangaza usiku wa kuamkia Jumanne kuwa mchezo huo utasimamiwa na waamuzi wa ndani, kinyume na makubaliano ya awali na kufuatia mkutano wa dharura uongozi wa Ahly ulitoa tamko rasmi ukitaka mchezo huo uahirishwe hadi mwamuzi wa kigeni apatikane.
Ahly ilisisitiza kuwa iliwasilisha maombi yake mapema, ikitaka waamuzi wa kigeni kwa mechi muhimu ili kuhakikisha haki inatendeka, hasa baada ya makosa ya mara kwa mara ya waamuzi wa ndani. Hata hivyo, EFA ilijibu ikidai muda haukutosha kuwapata waamuzi wa nje na kuitaka Ahly kuunga mkono waamuzi wa ndani.
Mpaka sasa, EFA haijatoa tamko jipya, huku hali ya sintofahamu ikiendelea. Katika msimamo wa ligi, Pyramids FC inaongoza kwa alama 42 Ahly ikiwa ya pili na 39 huku Zamalek ikishika nafasi ya tatu kwa alama 32.
#MillardAyoUPDATES
CEO wa Free Nation @naytrueboytz anafunguka nguvu ya Mwenyekiti wa Chama Cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) Tundu Lissu 👇
"Lissu anarudisha ushawishi wa kusikilizwa na kufatiliwa kwa CHADEMA. CHADEMA imeanza kuwa na nguvu mpya tangu pale uchaguzi wa Mwenyekiti mpya ulipofanyika"
"Ushawishi Huu Ukiendelea hivi na kuongeza mbinu zaidi, yaliyotabiriwa yanaweza timia" ✍Nay Wa Mitego mtandao wa X.
#Trending #NayWaMitego #CHADEMA #TunduLissu
@Mtanzan03736833@Geoffrey87Lea Simba iligomea match kwa sababu za kiusalama kwenye kanuni mabounsa hawatambuliki pengine walipangwa na kuvuruga match wakati wa mchezo
@MzeewaTakwimu@Ervinfesto@Geoffrey87Lea Achana na mambo ya taratibu na historia tusimame hapo walilolifanya simba kwenda kufanya mazoezi kwenye uwanja wa match ni sahihi au sio sahihi na kama ni sahihi kwanini wazuiwe