@mdudenyagali Inawezekana kabisa now day kuna madogo waliosoma Sayans wanaingia TMA Toka jkt baada ya form 6 almost miaka 19 na wanapiga koz wanamaliza na 21 zen after 1 year cheo kinapanda toka one star kuwa luten so ndan ya miaka 23 tayar ni ma"luten wengine mpka miaka 21 tu
@Labella_Mafia95 Iyo inaitwa famas gun ya France toleo la 1978
Inapga around 900 to 1100 meter usitishike bado haifui dafu kwa ak47
Sifa yake kuu ni nyepes na haiyumb kweny taget
@Kingvannytz_ Ni magari ya selikari kuu tanzania
Lakin usiogope ni mfatano wa namba za usajiri serikali kuu
Now day kuna stm stn itafika mpka stz
Tulitoka kwenye sth stj
@Abyasmzigua@babalao__@Cristiano@millardayo@JayleenRickie Kuna moja inaitwa shilingi staring mule kindo
Setting ni kipindi cha miaka ya zaman mno....
Kindo kijana masikin toka kijijin anaokota shilingi ya thaman sana
Hapo nilipata fundisho kubwa sana kuhusu utajir na umasikin
Vile wale waliokua wanamnyanyasa kindo waluvobadilika
@Kirikuu20 Oya huyo sanju sio poa
Nivile chris ni star tuu
Lakin part2 ni kali zaid mpka imepitiliza
Na part3 inakuja mwakani setting imefanyika Africa