@nulphin@asiliayetu kwasababu anasema hakutuma yeye wala hausiki na ule muamala QR code ngumu kwake. msabaha ingependeza angekataa kama hajapokea hela tuone ana nini cha ziada anacho atatoa kuprove alipokea
@TzAstra2014@Sativa255 umesema buyobe sio Tiss wala polisi atumwe nje nchi kufa ya mauaji na polisi mkubwa kama mafwele mbona haiingii akilini. kama alitumwa basi ana experience.kuua mti sio kama kukanyaga mende.damu sio nyepesi kwa mtu ambaye sio mzoefu .
@verderottomern@EsirEid@rollymsouth naelezea hali ilivyo.alikosea TIMING ila ule ni ukweli kuna wanaharakati wapo kimkakati na wanakula hela. buyobe story yake ya Nairobi kwangu hai add up. kuna vitu ving sana vinaachwa baina ya wanaharakati na buyobe.
@IAmHaule kijijini kuna kupa exposure ya kilimo,ufugaji ,ardhi
uzuri wa elimu inakupa maono pambana kupata ardhi na wewe ishi kama wao lima fuga.mjini ni exposure ya bar mpya,magari vitu vya starehe ila maendeleo ya maana sahau kwa mishahara yetu ya laki8
@DaimuManafi story yake ya nairobi ngumu sana.hata kama hausiki na hakujua ni ngumu kueleweka maana rafiki yake aliyempeleka kwa msabaha ana husika na utekaji.
@INFLUENCERjr buyobe kayakanyaga. story ya Nairobi ngumu sana kwake alafu wahusika anawajua.ubaya Hilda aliweka emotions na speculation nyingi kwa story ya Dar.ila kwa Nairobi buyobe anahitaji siku 10 za kuandika uzi connection yake na Msuya,nawatekaji na kutaka kukutana na wote wa huko