@rollymsouth Ni Kibaka kama Vibaka wengine, Hana lolote atakalo jielezea aeleweke na Umma wa Watanzania , Aendelee na Dick riding hapo ford foundation.
Imagine leo Tito Magoti anamuita Madenge "kibaraka wa Ford Foundation" wakati yeye ni sehemu ya cabal ya Maria Sarungi inayokula hela ya Ford.
Siku Ford wakiiona hii tweet lazima jamaa aulizwe maswali mazito ambayo atakosa majibu. Labda kama yeye kashapata wafadhili wapya.
Anyway, iko hivi wakubwa. Hii tweet kiherere kilimponza @rollymsouth . Madenge alitumiwa na wakina Maria apost hivi wakitegemea mawili
1. Kusifiwa kwa kuratibu maandamano
2. Kuhalalisha wao kuendelea kupewa pesa za wafadhili kwa "kazi nzuri" wanayofanya
Kwa bahati mbaya reaction ya wadau ikawa tofauti ikabidi Maria na cabal yake wamtupe Madenge kwa mbwa mwitu ๐.
Madenge anaogopa kujitetea kwa sababu anaogopa mashambulizi ya Maria na cabal yake. Yani kule kujifanya ana ubabwe wa Kisukuma ulikua u-keyboard warrior tu ila vita na wakina Maria anaiogopa.
Shakusikitisha ni kwamba Maria hakumpa Madenge fungu lolote. Ndugu yenu Madenge aliona anajitolea kwenye harakati ๐.
Madenge grow some balls na uje uwaambie watu ukweli. Yale matarajio yako kwamba hili swala litapotea tu na "wanao" kwenye harakati watakusamehe hilo halipo. Sema ukweli wwkoy, jiweke huru kisha sepa.
Bila hivyo your life will never be the same again. Si umeona marafiki zako Lubasha na Tayana uliowatuma wakusafishie njia ya kurudi kazi iliwashinda? Lubasha ndio kabisa hata tweet ya kukuombea msamaha alishafuta hakutaka kuanguka na wewe ๐คก.
Ila nadhani umejifunza kitu. Hawa wanaharakati wa kulipwa kamwe sio marafiki wa mtu. Wanakutumia kama chambo likikuangukia wao wenyewe ndio wanaongoza mashambulizi dhidi yake.
Kila la heri huko ulipo mzee wa "six figure salary".
Kwa Maelezo Aliyotoa @HildaNewton21 , Huyu @fbuyobe Anaingia kwenye kundi la VIBAKA na WATEKAJI bila kupingwa, @fbuyobe na Kina Madenge wote wauwaji na watekaji, ni vyema jamii kujitenga nao mazima.
Uzi wa HILD umeeleweka sana.
Tunachotaka sasa @fbuyobe atupe majibu ya upande wake-wote tunajua uwezo wake wa kuandika.
Kama tulivyosoma uzi wa hilda na wa BUY0BE tutasoma.
Sasa unakosaje kusherekea Bday ya Sugu huku heshma za Bongo Flava na leo Legend Prof Jizee?
Oya mshikaji wangu wa nguvu, Bongo Flava tangu 90s tunakosaje wakilisha? @rollymsouth
@ze_mandevu Nilichojifunza leo
1: Tanzania bila mapinduzi tutakuja kutiwa miti nchi nzima
2: 86% ya wananchi wote ni mbumbumbu hasa rural areas hakuna kitakachobadilika kama mikoa ya mwanza,dar, mbeya ,Arusha na Geita wasipoipambania hii nchi
3: Njaa na woga ndio chanzo cha shida tanzania
Poleni sana Watanzania kwa hiyo ripoti ya kishetani mliyopewa na tume ya kishetani iliyoundwa na shetani mwenyewe
Wale mnaotaka Maridhiano, hivi ndio hawa mashetani waliotoa ripoti hii mnataka kufanya nao Maridhiano????
Ripoti inafanyiwa promotion na serikali na machawa wake mmewahi kuona wapi? Kama sio uhuni na ushetani na kukosa utu?