Tulisema wakati wa kampeini, tutasimamia ahadi zetu kwa Watanzania.
Tutajenga taasisi ya kubadilisha Nchi hii na kuwapa Watanzania Nchi isiyo na upendeleo, ufisadi, rushwa kuoneana na kuumizana.
Tutahakikisha rasimali za Nchi yetu zinatumika kwaajili yetu sote sio kikundi kidogo cha watu.
#NoReformsNoElection
Chama Cha MAMBUZI kazi waliyo nayo ni kuwalipa machokoraa na Media UCHWARA kupambana na Heche.
Endelea Kuichangia CHADEMA ili tuwakwaze chama Cha MAMBUZI;
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
MBEYA WAMEIPOKEA CHALLENGE YA KUCHANGIA BARAZA KUU YA UMMA.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Big failure, ni aibu hata kutangaza. Yaani , mauzo yote ya SABASABA sawa na zawadi ya sendoff KATORO. Uchumi hauko sawa hata kidogo. Rekebisheni siasa za Nchi zinavyoendelea kabla majuto hayajawa makubwa zaidi. Mitaani kuko vibaya sana.
VIDEO:
Mchekeshaji na mtengenezaji wa maudhui mtandaoni, Gasper Joseph Kagonda amesema matumizi yake ya neno 'Malawi' kwenye maudhui yake ni lugha ya picha inayotumika kufikisha ujumbe, na si kulenga nchi yoyote moja kwa moja.
Akizungumza katika mahojiano na Jambo TV, Gasper amesema maudhui yake yanayochekesha hubeba pia mafunzo na ujumbe kuhusu masuala mbalimbali ya kijamii.
Tazama mahojiano kamili kwenye Youtube yetu ya Jambo TV
Profesa Anna Tibaijuka: "Kusema matukio ya oktoba 29, 2025 ni ya kupangwa, kama serikali inavyodai, siyo sahihi. Kilichotokea ilikuwa ni mshituko, "rapture," uliotokana na hasira za wananchi dhidi ya utawala wa mabavu."
Mange aliwahi kutupa ushahidi namna ABDULI na mamaake walivyoitafuna hii nchi kwa kujenga mijumba ya kifahari.
WAPUMBAVU walinunua TILES za BILIONI 2.4–leo mnatuyumbisha na KIBANDA mnasema nyumba ya HECHE.
CHAWA PAIPU TUNAYOWAPELEKEA HAWAKUWA TAYARI NAYO.😂🙌🏿
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande amewataka Watanzania hususani vijana kujenga taifa kwa misingi ya unyenyekevu, uadilifu na haki badala ya kutumia nguvu au ubabe, akisema hiyo ndiyo njia sahihi ya kuleta ukombozi wa kweli wa nchi.
Askofu Nkwande amesema hayo wakati akihubiri katika Adhimisho la Misa Takatifu ya kumbukumbu ya Mtakatifu Agustino wa Hippo, mlinzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino Tanzania (SAUT) kilichofanyika jijini Mwanza.
Akizungumza na waumini na wanafunzi waliohudhuria ibada hiyo amesema vijana ndio tegemeo la taifa hivyo wanapaswa kujenga maadili na kuwa mstari wa mbele katika kusimamia haki na ukweli.
"Vijana daima huwa ni tegemeo la popote pale mkikosa uadilifu ulimwengu na nchi yetu hatujui itaishia wapi? Fuatilieni na myaelewe yote yanayotokea lakini muweke mikakati ya kweli na ya kuja kukomboa nchi yetu, hatuwezi kuikomboa nchi yetu kwa nguvu kwa sababu hata Bwana Yesu Kristo wakati anawakomboa wana wa Israel hakutumia nguvu," amesema Askofu Nkwande
Kwa upande wake Mkuu wa Idara ya Falsafa na Maadili chuoni hapo, Padre Innocent Sanga amewataka vijana kuyaiga na kuyaishi maisha ya mtakatifu Agustino huku wakiamini kuwa wanaweza kubadilisha mienendo yao mibaya kuwa mizuri.
Happy birthday my brother @HecheJohn
Mwenyezi Mungu akujalie miaka mingi ya afya na furaha tele na akulinde dhidi ya waovu
Keep walking down the hard but righteous path 🙏🏽
Have a wonderful day!
Magaidi wa Mbeya wameingia mtaani kuchangisha aisee hii issue magaidi waichukulia serious sana
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
“Kwasasa CHADEMA ipo kwenye peak, inaungwa mkono kwa kiwango kikubwa sana kwasababu inasimamia agenda za wananchi…”-; @AdvMahinyila , Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa
CCM sijui mmemuelewa Makamu Mkiti Chadema? Msimamo.ndio huo na ni wa vikao vya kikatiba bila shaka umejieleza vyema.
Chadema "focus" ibaki kwenye agenda za chama. Free Tundu Lissu, katiba mpya na nchi kugeuzwa gulio la mafuta kwa wahuni duniani.
Kubaaaaabake. Masela wamekataa porojo. Zimeletwa stori za awamu ya sita, watu wamezomeaa balaa. Watu wapo kwenye burudani unawaletea habari za awamu ya sita. Tunajenga arenaaa. Tunajenga arenaaaa. Tuna, tuna, tuna miaka nenda rudi. Masela wamekataa porojo. 😁
🔥🔥👊🏽 Tundu Lissu ‘s spirit 🔥🔥
Mkisikia Aluta Continua ndo hii!
Madhulmat wanakaribia kutema bung’o msidanganyike! Lissu kawaambia wamwachie ni haki si fadhila! Hawezi kupiga magoti!
One day we will learn to appreciate this man! Amechagua njia ngumu ili sote tupone!
Mungu amlinde 🙏🏽🫡
#FreeTunduLissu
CHADEMA, chama kilichozuiliwa kufanya siasa kwa siku 310 mfululizo, kimeanza mikutano ya hadhara kidogo, MaCCM wameingiwa na hofu na kuzuia mikutano. Hapo bado mashine Tundu A.M Lissu hajatoka gerezani. Tutawapiga spakoo za kutosha sana. Mbogamboga, mbinu hizi za kishamba na kitapeli za kuzuia shughuli halali za kisiasa, hazitawafanya mpendwe, zinazidi kuwajengea chuki kwa wananchi. Kama mlishinda kwa 97% na kupigiwa kura milioni 32, mnawezaje kuogopa chama cha siasa kisichokuwa na mbunge, diwani, mwenyekiti wa mtaa, kijiji au kitongoji? Endeleeni kuzuia, mnavyozidi kutuzuia ndivyo mnavyowatia wananchi hasira na kuwazindua usingizini. Panakaribia kukucha, mamiyakeee. MBORAAAKE. #KatibaMpya #FreeTunduLissu
NB; Kwa huu mtiti, msingejichoma vidole wenyewe, mnuse, halafu mpige chafya (kuzuia mikutano) tungewashangaa sana. Tunawafahamu.
Tumejaribu kufuatilia simu ya David Nkindikwa kupitia namba yake ya simu mpaka sasa location inaonesha bado ipo Kibaha.
Ndugu zake wamezunguka baadhi ya vituo vya Polisi bila mafanikio kibaya zaidi Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani wanasema kwamba wasubiri mpaka masaa 48 yapite, wakiona kimya ndo wafungue jalada la uchunguzi.😭
Hii ni wazi kwamba Polisi ndo wahusika wa tukio la Utekaji wa David. #FreeDavidNkindikwa