TK Movement inawatakia kheri wanafunzi wote wa kidato cha nne kwenye mitihani yao ya kuhitimu.
Mwenyezi Mungu awasimamieππΌππΌ
#MamaYetuTaifaLetu#TaifaLetuKeshoYetu#SSH
Tunashukuru sana Mh.Rais Wetu @SuluhuSamia Kwa kututambua sisi vijana wako wa TK MOVEMENT.
Kwetu hii ni motisha na tutaendelea kushirikishana na vijana na Wanawake wenzetu kuenzi misingi ya Utaifa,Uzalendo na Kujitolea ili kujenga πΉπΏ Imara
#TaifaLetuKeshoYetu#MamaYetuTaifaLetu
MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU AMEITAMBUA TK MOVEMENT MBELE YA KIKAO MAALUM CHA BARAZA LA UWT TAIFA SONGEA NA KUWAOMBA VIONGOZI WA VYAMA KUSHIRIKIANA NAO KWA KUWAPA MIONGOZO MIZURI NA KUSAIDIANA NAO KATIKA MAJUKUMU YAO.
ASANTE RAIS DKT. SAMIA
#MamaYetuTaifaLetu#TaifaLetuKeshoYetu
πTK MOVEMENT TUMEAMUA KWENDA NA DUNIA YA KIDIGITALI WEWE JE..??.
Je wajua Dunia π ya sasa ni ya Kidigitali yaani ni ya kisasa zaidi hasa kupitia teknolojia ya mitandao ili kuweza kurahisisha upatikanaji wa habari na mambo kemkem mtambuka.
πππππ
Ungana nasi TK Movement kwenye ukurasa wetu rasmi wa "X" ili kujipatia taarifa, matukio, mijadala mbalimbali yenye kuleta mapinduzi ya kifikra kwa jamii.
Wana TK Movement Mkoa wa Mara tarehe 28/08/2024 wameshiriki katika tukio la Kuaga miili ya watoto sita waliokufa maji, baada ya kuzama katika bwawa la maji la skimu ya umwagiliaji katika Kijiji cha Ochuna wilayani Rorya.
DC KHERI JAMES NA βCHIEFβ MKWAWA WAZINDUA TK MOVEMENT MKOANI IRINGA
Mhe. Kheri James, Mkuu wa Wilaya ya Iringa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa akiongozana na Chifu Mkwawa wamezindua kampeni ya βTaifa letu, kesho yetuβ Iringa
Tupuuze upotoshaji huu, Hawa ni sehemu ya wapotoshaji wa malengo Chanya ya TK.
TK Movement tunaiunga mkono Serikali na falsafa za 4R za Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
TK Movement inaendelea na utaratibu wa kuwachukulia hatua watu wote wenye kujihusisha na vitendo hivi.
Ukurasa huu unatoa jumbe mbalimbali za upotoshaji si ukurasa halali wa TK Movement. Ukurasa wetu rasmi ni @tkmovement__. Hivyo tupuuze taarifa za chuki na upotoshaji wa zinazotolewa na ukurasa huu.