MAPINDUZI YASIO IMBWA YA DR @SuluhuSamia KTK KILIMO.
Miaka 3 tangu angie madarakani amefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya Kilimo. Mapinduzi haya ni kugeuza shughuli za kilimo kutoka kuwa cha kujikimu hadi kuwa cha biashara kwa kufungua vikwazo vya kusafirisha mazao ya kilimo mipaka yote, mapinduzi ya mifumo ya kidigitali ikiwemo kusajili wakulima, mapinduzi ya kibajeti, kuimarisha ushiriki wa sekta binafsi ktk kilimo, ushiriki wa vijana na wanawake ktk kilimo.
Aidha amepunguza riba za mikopo ya kibenki katika kilimo, kuanzisha mfumo wa ruzuku ya mbolea, mapinduzi katika uzalishaji mbegu bora na za kisasa, mapinduzi ya kilimo cha umwagiliaji, mapinduzi ya mwelekeo wa uhifadhi chakula, mapinduzi katika utegemezi wa Mbolea ya nje kwa kujitegemea ndani.Moja ya maono yake. Nitafafanua mapinduzi haya moja baada ya jingine…
Dr. Zubeda A.K.A @Sisimizi3 , Dr. Mariam A.K.A @kigogo2014 ni kawaida yenu kuzusha mambo yenu, Mkajitwishwa sinema zenu kwa vipande kwa Pesa na Mambo yakija tofauti mnabadili goal post. Siasa ni safari ndefu sana Dr Zubeda na Dr Mariam leteni taharuki nyingine.
𝐍𝐈𝐌𝐄𝐏𝐄𝐍𝐘𝐄𝐙𝐄𝐖𝐀 : Kupitia vyanzo vyangu vya kuaminika,Bwana Kilimo amejadiliwa sana Kamati ya Maadili na leo ni hatma yake kwenye Kamati Kuu
Mapendekezo ni aliwe kichwa, ila majina yataenda NEC na kama likirudi basi atashindwa kwenye kura
Jina likirudi niitwe ZUBEDA
Tunawajibu Mkubwa wa Kuilinda sekta yetu ya Kilimo Kibiashara, Hatua hizi ni kwa Maslahi mapana ya Masoko yetu kwa Wakulima na wafanyabiashara wetu katika mnyororo mzima wa thamani. Hatua hizi haziturudishi nyuma bali zinatupa Ulinzi sahihi wa huko Mbele tuendapo hasa tukiwa na Lengo la Kujilisha sisi na Kuwalisha wengine Kibiashara.
🤝 Katika ushiriki huo, tumefanikiwa kutoa katoni 30 za maji pamoja na kutoa fedha ya rambirambi kwa wafiwa.
Tunapenda kuwashukuru viongozi na wanachama wote, waliojitoa Kwa michango yao, na kuwafuta machozi waombolezaji waliojitokeza katika msiba huo.
Wana TK Movement Mkoa wa Mara tarehe 28/08/2024 wameshiriki katika tukio la Kuaga miili ya watoto sita waliokufa maji, baada ya kuzama katika bwawa la maji la skimu ya umwagiliaji katika Kijiji cha Ochuna wilayani Rorya.
Pale tu watu wema, wenye fikra pana, na maono makubwa wakiamua kushushana au kuumizana au kudhuriana wao kwa wao basi jua ni wakati wa Wajinga kutawala.
DC KHERI JAMES NA ‘CHIEF’ MKWAWA WAZINDUA TK MOVEMENT MKOANI IRINGA
Mhe. Kheri James, Mkuu wa Wilaya ya Iringa kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa akiongozana na Chifu Mkwawa wamezindua kampeni ya ‘Taifa letu, kesho yetu’ Iringa
Tupuuze upotoshaji huu, Hawa ni sehemu ya wapotoshaji wa malengo Chanya ya TK.
TK Movement tunaiunga mkono Serikali na falsafa za 4R za Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
TK Movement inaendelea na utaratibu wa kuwachukulia hatua watu wote wenye kujihusisha na vitendo hivi.
Ukurasa huu unatoa jumbe mbalimbali za upotoshaji si ukurasa halali wa TK Movement. Ukurasa wetu rasmi ni @tkmovement__. Hivyo tupuuze taarifa za chuki na upotoshaji wa zinazotolewa na ukurasa huu.
Ustahimilivu, Maridhiano, Kuujenga Upya Uchumi na Mageuzi Kwenye Sekta Mbali Mbali Ndio Msingi wa Maendeleo ya Taifa. Na hiyo ndiyo Dira Ya Samia.
@SuluhuSamia@ikulumawasliano#DiraYaSamia
Leo nimepata nafasi ya kushiriki Kongamano la Wadau wa Umwagiliaji na mnyororo mzima wa Sekta ya Kilimo uliofanyika katika skimu ya umwagiliaji ya Mwamkulu, Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi.
Kuna miradi takribani 29 katika Mkoa wa Katavi, ikiwemo miradi mikubwa ya umwagiliaji iliyopo katika maeneo ya Usese na Mwamkulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Kilimo @HusseinBashe kuhakikisha bei ya ununuzi wa mahindi kuwa shilingi 700
Ameyasema hayo leo katika viwanja vya Mandela mkoani Rukwa.
Akiagiza NFRA kununua mahindi kwa wakulima kwa bei isiyopungua shilingi 700.
@SuluhuSamia@ikulumawasliano@TzNfra
#DiraYaSamia
“Epuka Kukata tamaa kwenye maisha, maisha yetu yamejaa mazuri, yamejaa mabaya. Yamejaa upendo na yamejaa chuki, lakini usikate tamaa, ni kujitahidi kuwa nataka nifike pale”
- Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
#DiraYaSamia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Rukwa baada ya ufunguzi wa utaanuzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Tawi la Rukwa.
Upanuzi wa chuo hichi kimogharimu kiasi cha Shilingi Bilion 14.68.
@SuluhuSamia@ikulumawasliano
#DiraYaSamia
Ziara ya Mhe Rais Dkt @SuluhuSamia inaendelea Mkoani Rukwa leo.
Kilimo ndio shughuli kuu ya kiuchumi katika Mkoa wa Rukwa. Kwa miaka mingi Kilimo kimekuwa kikiwapatia wakazi wa Rukwa chakula cha kutosheleza mahitaji na kuwa na ziada ambayo huuzwa kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula na wanunuzi wengine ndani na nje ya Mkoa huu.
Mkoa una eneo la hekta 1, 660,600 zinazofaa kwa kilimo.
Mazao yanayolimwa kwa wingi katika Mkoa huu ni pamoja na Mahindi, Mpunga, Ulezi, Alizeti, Maharage, Ngano, Mtama na Muhogo.
📍 Viwanja vya Mandela
#Agenda1030
“Nimekuja Rukwa, bado malalamiko ya bei ya mahindi ni mengi. Nilikua nanong’ona na Waziri wa Kilimo, nikamuuliza kama tunaweza kwenda na bei ya 700, akaniambia Mama ngoja nikapige mahesabu
Lakini pamoja na kupiga mahesabu, nakuagiza Waziri, nendeni na BEI YA 700.
Na huo ndio usikivu wa Serikali
Kuanzia kesho NFRA wakifungua kesho ni 700, yale mengine Waziri utajua tofauti unaitoa wapi.”
Asante sana Mhe Rais Dkt @SuluhuSamia kwa kusikia kilio hiki.
#Agenda1030 Kazi Iendelee
Taarifa:
Kutokana na ukame unaoikumba nchi ya Zambia, nchi hiyo imeingia makubaliano na Tanzania kununua tani 650,000 za mahindi kwa ajili ya kuwasaidia wananchi milioni saba wa taifa hilo.
Mkataba huo utatekelezwa kwa kipindi cha miezi nane na utaiingizia Tanzania dola milioni 250 sawa na Sh650 bilioni.
Mahindi hayo yatakayosafirishwa kwenda Zambia yatatolewa katika maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ambapo kwa kituo cha Songwe mahindi tani 55,000, Makambako tani 75,000, Sumbawanga tani 250,000 na Songea tani 270,000.
Mkataba huo umesainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa NFRA Dk Andrew Komba pamoja na Mratibu wa Maafa kitaifa nchini Zambia Dk Gabriel Pollen, wakishuhudiwa na mimi kama Waziri wa Kilimo,
Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba na Waziri wa Kilimo Zambia Reuben Phiri.