SIASA NA UCHUMI
MK INVESTMENT Ni kampuni inayojihusisha na usambazaji na uuzaji wa vinywaji vya jumla
Call 0753230990
Ofc inapatikana Sinza Mori, nyuma ya GBP PETROL STATION
Wanangu wa boda boda na machinga msithubutu kukubali kuingia kwenye mtego huu,
Haya masisiem yanaroho mbaya sana, roho za kichawi, Yani hata kidogo wanachopata Hawa wapambanaji Bado wanakiweka kwenye plan zao za mabilioni,
Wakachukue zile za DP World zikajenge hizo barabara.
MATUNDA POINT π₯π₯οΏ½οΏ½
Kumbu kumbu ya siku ya mwisho ya Mwezi May 2026
π€ 0750502699
MATUNDA POINT tunapatikana Sinza, Mori Road
Huduma zetu ni 24 hrs
Sunday maranyingi huwa sitoki nje ya geti langu mpaka usiku,
Muda mwingi huwa natumia kufanya usafi, kupumzika na kupitia kurasa mbili tatu za vitabu mbaliΒ² kuhusu UONGOZI au BIASHARA
Currently π 21 irrefutable laws of leadership
NB:Huwa sikosi MATUNDA kutoka MATUNDA POINT
Sunday maranyingi huwa sitoki nje ya geti langu mpaka usiku,
Muda mwingi huwa natumia kufanya usafi, kupumzika na kupitia kurasa mbili tatu za vitabu mbaliΒ² vya UONGOZI au BIASHARA
Currently π 21 irrefutable laws of leadership
NB: Huwa sikosi MATUNDA kutoka MATUNDA POINT
@Thommunkondya Shukran sana kaka, mapambano bila economic muscles ni sawa na bure,
Vijana wengi wanaishia kuwa machawa kutokana na kutegemea 20 20 za wakuu.
#SIASANAUCHUMI