@millardayo Huu ndio upuuzi baadhi ya Viongozi wetu wameubeba vichwani. Badala ya kufikiria kupanua miji zaidi, wanafikiria kupunguza fole kwenye JIJI. Nendeni New York City, foleni hazijawahi kuisha kwenye majiji. Jengeni mikoa mwingine.
@godbless_lema Kaka Lena pamoja na yote USA imevuka mipaka. Wengi wanshangilia Ila USA ingedeal na mipaka yake. Kitendo chao hakina utofauti na utekaji wa Bongo.
@LarryMadowo Libyans are suffering from their foolishness. Neither Americans nor Europeans will love Africa more than ourselves. American leaders are the thief using our puppet masters. So, sad for Libyans.
@Jambotv_ Ni mara ngap wametoa ushauri ikiwemo kuhusu kesi ya Political presoners kam Lissu? Acheni lawama na tuvume tulichooanda. Hivi Polepole, Mdude, Soka na wengine wako wapi? They were our National & government critical figures. Machaw wametuharibia Nchi na kumwachia zigo mama wa watu
@Chahali Tuendelee kudai Katiba mpya na Tanganyika yetu. Lakini hizi chuki mnazotengezea Uzanzibar na Utanganyika. HAPANA HAPANA HAPANA. Sisi sote ni WANZANIA NA TANZANIA NI MOJA TU.