Ulikuwa Nae Kitandani โLakini Uume Ukakusaliti! Usiogope โ Huu Ndio Mwongozo Wa Mapinduzi Ya Nguvu Za Kiume Bila Dawa!
Embu Vuta Picha...!!! Kisha Pitia Misingi Mikuu (5) Ya Ukombozi Wa Afya Yako Ya Uzaziโ HAPO CHINI.
Open Thread: โคต
๐๐๐ญ๐จ๐ฑ ๐๐จ๐ฅ๐ฎ๐ญ๐ข๐จ๐ง๐ฌ ๐ณ๐ ๐๐ฎ๐จ๐ง๐๐จ๐ ๐๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐๐ฐ๐ข๐ฅ๐ข๐ง๐ข ๐ง๐ ๐๐๐ฆ๐ง๐ ๐ฒ๐ ๐๐ฎ๐ณ๐ข๐๐ง๐๐๐...
Fungua Siri za Kuisafisha Miili Yetu na Kuamsha Tena Nguvu Zako za Kiasiliโ Bila Dawa Hatari.!
Open Thread: โคต
UKIACHANA NA RAMADHAN NA KWARESMAโ JE KUFUNGA KUNA UMUHIMU WOWOTE KIAFYA?
Watu wengi huona kufunga kama ibada inayofanywa tu kwa sababu za kidini.
Lakini je, umewahi kujiuliza kama kufunga kuna faida za kiafya hata nje ya misimu ya kidini?
Twende Taratibu: Open Thread:โคต
TESTOSTERONE โSIRI KUBWA YA NGUVU YAKO YA KIKE? HAPANA, YA KIUME!
(Wanaume wengi wanateseka kimya kimyaโฆ Je, na wewe ni mmoja wao?)
Leo tunaongelea homoni ambayo inakufanya kuwa MWANAUME HALISI โTestosterone! Hii si homoni tu, ni NGUVU yako!
โณ Bila kiwango cha kutosha cha testosterone, unashangaa kwa nini mwili unalegea, nguvu zinapungua, na hamu ya mapenzi inatoweka. ๐จ
JE...! Unajua dalili za testosterone kuwa chini? Wanaume wengi wanazipuuza hadi madhara yanapokuwa makubwa...!!
OPEN THREAD:โคต
TEZI DUME NI NINI? ๐ง
โณ Tezi dume si ugonjwa! Ni kiungo cha mwili wa mwanaume kilicho chini ya kibofu cha mkojo na kinazunguka sehemu ya mwanzo ya mrija wa mkojo (urethra).
โณ Kazi yake kuu ni kuzalisha majimaji yanayolinda mbegu za kiume na kusaidia uzazi. Bila Afya bora ya tezi dume, uzazi wa mwanaume unakuwa na changamoto kubwa..!
โณ Lakini tatizo linakuja pale tezi dume inapovimba, kuharibika au kushambuliwa na saratani.
MORE: โคต
TEZI DUMEโ SIRI NZITO AMBAYO WANAUME WENGI HAWAIELEWI...! ๐ฑ
Unapopewa taarifa kuwa una tatizo la Tezi Dume, unafikiria nini?
.
Je, Unaposikia neno "Saratani ya Tezi Dume" Mawazo yako yanakimbilia wapi? ๐จ
.
โณ Wanaume wengi hawajui kwamba afya yao ya uzazi na nguvu za kiume, Zina uhusiano mkubwa na tezi hii.
.
โณ Tezi dume si ugonjwa, bali ni kiungo cha kipekee ambacho kinafanya kazi kimya kimyaโMpaka tatizo linapotokea!
.
๐ Swali ni, je, unajua jinsi ya kuitunza?
๐ Dalili za hatari ni zipi?
๐ Na ni kweli kwamba kila mwanaume atakumbwa na tatizo la tezi dume kadri umri unavyosonga?
.
โณ Usikose makala hii, utaelewa kila Kitu Unachopaswa kujua ili kuwa Salama!
OPEN THREAD:โคต