#Uhalisia_mchungu Kwa hali ilivyo usijipige kifua na kutamba kuwa hawawezi kuishi bila wewe, yeyote anaweza kuishi bila wewe kwani walifikia sehemu kabla yako na watafikia mahali pasipo wewe #usijisahau#Ishivema
Mara zote Mungu humpa na kumnyang'anya anaestahili bali mwanadamu yeye humpa na kumnyang'anya anaejisikia na ni mara chache sana kumfikia anaestahili.
#MFM#remindingYou
#Uhalisia_mchungu Kwa hali ilivyo usijipige kifua na kutamba kuwa hawawezi kuishi bila wewe, yeyote anaweza kuishi bila wewe kwani walifikia sehemu kabla yako na watafikia mahali pasipo wewe #usijisahau#Ishivema
Bob Marley was once asked if there was a perfect woman.
"Who cares about perfection?
Even the moon is not perfect, it is full of craters. The sea is incredibly beautiful but salty and dark in the depths. The sky is always infinite, but often cloudy.
Binadamu tunapenda sana kukosolewa ila ni vile tu tunapokosolewa ukweli unatuuma na kuona kama wanaotukosoa pengine wangetumia maneno mbadala nayo kimsingi hayapo sababu ukweli nasemwa vilevile