Kuna siku tuliandika kuhusu madigrii manne yakazua balaa. Wenye kubeza, kukejeli, kusifia, alimradi kila mtu na lwake! ππΏ. Kuna siku hapa tutaandika kuhusu mabilioni, itakuwa balaa. SOMO: wenye akili watajiuliza Kigwangalla anatoka wapi na alifikaje hapo? #NjeYaBox
@HKigwangalla@IAMartin_ Kaka kila siku nakuambia achana hii mijitu..hawa ni watanzania asilimia sifuri tu usihangaike nao,wapo watu wetu wasio jua Twitter wala facebook wanakuelewa sana na wale ndo wanashida na unawasaidia hawa vilaza wasikuumize kichwa
@legunajo Yaani wabongo bwana sisi..RC yupo sahihi na anfewaongeza hata stick mia kwani hata sisi tulikemewa tulionywa na kutandikwa ndo maana tumefika hapa
Waombolezaji waliokusanyika Uwanja wa Rufaro mjini Harare Zimbabwe, wamemzomea Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa wakati akianza kutoa salamu za rambirambi kabla ya kuaga mwili wa Robert Mugabe.Wananchi hao wamechukizwa na vitendo vya ubaguzi Afrika Kusini. #MwananchiUpdates