@Isayadicksonjr Anamaliza keshokutwa😂 stress atapewa na registrars wa IM huko RRH akiwa intern maana na wao saizi wamekuwa na torture kuliko head of departments
@George_Ambangil@George_Ambangil samaki pamoja na shombo zake anavumilika, ila yule Anduje sisi kama watesi hayo mateso akibeba ni mara kumi ya shombo za Yamal
@atienomyname@DanfordTun96400 Kwamba CD4 zilipanda wakatoka kwenye immunocompromised group au victims walikufa wote, nieleweshe boss tafadhali I'm curious about this