Katika maisha, kosa kubwa ambalo hupaswi kulifanya ukiwa kazini ni kujiaminisha kuwa “hakuna mbadala wako” kwenye sehemu ambayo wewe upo. Ukifukuzwa, ukipata matatizo au ukifa, kesho yake atapatikana mtu mwingine wa kuziba pengo lako. Kila mtu ana mbadala wake!
Ukiona mwanamke anapost mtoto na caption anaandika wewe ndio shujaa wangu jua baba wa mtoto alikuna Kona
Hakuna mtoto anayeweza kuwa shujaa kwa mama yake kama baba yake yupo