26yrs old ananitongoza nimebaki kucheka aisee, hivi hauoni kama mimi ni old enough to be your big sister π€¨ 26 surely? Unitongoze mumama wa 30 something huko? Afu apo serious talking about βI will take care of you mamaa, I promise nimeanza kukupenda muda sanaβ we mtoto wewe ππ
Jamaa aliomba kazi kaitwa mpaka interview afu kasikia ameajiriwa mtu ambae siku ya interview hakuwepo
Siku hizi akiomba kazi akiitwa interview haendi anasema kama IPO IPO tu
Hadi Leo wazazi/wanafunzi wengi wanajua muhandisi (engineer) ni yule anayefanya kazi za ujenzi wa barabara pekee. Wengi wetu tulipofika chuo ndio tulijua Kumbe kuna wahandisi wa aina nyingi. Hata kwenye taaluma nyingine, bado watoto wanaingia Chuo wakiwa hawana taarifa za sahihi/kutosha.
Utaratibu ni ule ule kwenye kombe la Dunia timu unayoishabikia ikitolewa unahamia nyingine mpaka bingwa apatikaneπ€£
Mimi naanza na senegal, argentina,brazil, france na spain zikitolewa zote nitajua nahamia wapiπ
Kuna ruti mpya kutoka Dar kwenda Mbinga, unaweza kupitia Makambako au ukapitia Lindi.
Kupitia Makambako utapanda Sama Luxury na Kupitia Lindi kuna Mining Nice.
Mshindwe nyie tu
Watu Watano walioathili mifumo ya maisha ya binadamu kwa 90%
1. Ibrahim
2. Nuhu
3. Musa
4. Yesu kristo
5. Mohammed s.a.w
Kwa kifupi mifumo yote ya binadamu toka kuumbwa kwa dunia inacheza ndani ya maisha ya hawa watu
Nani anafaa kuwa namba 6 - 10 π
Basi ukipita mitaoni ukasoma comments za wadada wanavyoandika kuhusu kahama baada ya Harusi iliyotrend ya PL unabaki tu kuchekaπ€£. Jamani kama mnatamani kahama msisahau kuja na vipimo vya HIV na mabox ya Condom shauri enuβ¦TUNAWAKARIBISHA WAGENI WOTE π
Basi tu hatuna sehemu ya kwenda ila Mbeya sio sehemu ya kuishi watu, kila nikija napata hisia nipo kalahari au Sahara desert ni vile tu huku badala ya ngamia kuna magari π₯Ήπ₯Ήπ₯Ή