Uthibitisho mwingine kwamba mpaji ni Mungu ni kitendo cha jogoo kuwa mtunza muda wa kuaminika wakati hana saa na zaidi ya yote; hajasoma. Lakini cha kushangaza,sijawahi kuona bata akitaka nafasi ya jogoo.
@k_mjege Colonial mentality. Ngugi wa Thiong'o aligundua kuwa ukoloni uliacha athari kubwa sana ambazo hazisemwi kabisa.Ufahamu wetu ulitekwa na tukaaminishwa kwamba baadhi ya lugha ni duni na hivyo zinatengeneza watu duni.Ngugi akaandika insha ndefu iitwayo "Decolonizing the Mind".