Happy World Environment Day
Our planet is a shared responsibility. Every sustainable choice, no matter how small, contributes to a healthier and greener future.
Letโs work together to reduce waste, conserve resources, and create a more sustainable world for future generations.
Kwenye Safari Ya Mafanikio Hauhitaji Tu Kupambana Ili Uweze Kufanikiwa Lakini Pia Unahitaji Neema Ya Mungu Ili Utimize Malengo Yako,
USISITE KUMUOMBA MUNGU KATIKA UNALOLITAKA HATA KAMA UNAONA KWA NGUVU ZAKO UNALIWEZA,
Neema Ya Mungu Ni Zaidi Ya Mapambano Na Mbinu Za Kidunia.
Efe 3:20-21
Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu; naam, atukuzwe katika Kanisa na katika Kristo Yesu hata vizazi vyote vya milele na milele. Amina.
Neno Usiogope Limeandikwa Mara 365 Kwenye Biblia, 365 Ambazo Ni Siku Za Mwaka Mzima, Hivyo Kila Siku Mungu Anatuambia Tusiogope, Haijalishi Ni Jambo Tusiogope Na Tumwamini Yeye Muweza Wa Yote.