SUMMARY KUHUSU KESI YA UHAINI ALIYOBAMBIKWA MHE. LISSU
Kwa faida ya wafuatiliaji.
Kilichofanyika kwa hizi siku tatu ni kusikilizwa pingamizi moja kati ya mapingamizi mawili aliyoyaibua Mh. Tundu Lissu.
Hili la kwanza ambalo tulikuwa tunalisikiliza ni kuhusu mamlaka ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kusikiliza shauri hili wakati kuna mapungufu mengi kwenye mahakama ya ukabidhi yani Kisutu.
Tayari limesha sikilizwa na sasa tunasubiri uamuzi wake ambao Jaji Nduguru amesama atatoa siku ya jumatatu.
Pingamizi la pili lenyewe litasikilizwa mara baada ya mahakama kutoa uamuzi juu ya pingamiza la kwanza.
Endapo kama Mahakama itasema kuwa kesi hii iendelee basi mshitakiwa atasomewa mashitaka yake, atayajibu na baada ya kuyajibu sasa kabla ya kesi kuanza kusikilizwa Makamana italazimika kusikiliza hayo mapingamizi ya awali kwamba
Hati ya mashitaka iliyoletwa ni defective yaani ni hati mbovu, haiko kisheria ina matege na inaumwa sana haiwezi kuwa na afya ya kusimama na kuchukuliwa kama ni nyaraka ya kufungua mashauri kwa mujibu wa sheria.
Inatakiwa hati ya mashitaka kisheria ukiiangalia uone inayaelezea hayo mashitaka haswa ni yapi na yawe yameandikwa kisheria na kuelezea hilo kosa ni lipi?
Sasa hilo pingamizi litasikilizwa hapo baadae so kwasasa acha tuhangaike na yaliyopo.
Nawashukuruni sana kwa kufuatilia kesi hii kupitia ukurasa huu.
Mengine nitawauliza wanasheria wetu ili tupate uchambuzi wa kina ili tueleweshana kipi ni kipi.
Hadi hii kesi itakapoisha wengi wetu tutakuwa tumejifunza mengi kuhusu sheria
Unaweza unakuta baada ya hapa wengine wakaananza hata kupiga deal za kisheria akitokea mteja kajichanga maana maisha yenyewe yashakuwa magumu.
Tunaishia hapo kwa leo.
Nawatakia mchana mwema!
Mhabarishaji wenu Hilda Newton.
Lissu ukitoka jela usijekutana na huyu muhuni hata mita 100,
Usinegociate na muhuni yoyote wala kugusana nae wala kumweka karibu.
Ndio kosa alilofanya JPM alipoanza negotiate with Deepstate.
#Kataawahuni
🔥✊🏽
“Siwaombi majaji chochote!Mtakachoamua, msiamue kwa huruma. Muamue yote kwa haki na kwa mujibu wa viapo vyenu. Msinihurumie na sihitaji huruma yenu nahitaji muamue kwa haki.”
Tundu Antipas Lissu
11 Septemba 2025
Mahakama Kuu D’Salaam
@saikirankannan Bado tanzania na nchi zingine za afrika zenye utawala wa kishenzi kama wa It won't be long before he grinds stones and gnashes his teeth while crying and begging for mercy from the people when it's already too late.
Police state:
Mahakama ambapo ilipaswa kuwa kimbilio la watu wote wanaoonewa..
Yuko mahakama kuu polisi ndio wanacontrol kila kitu wanazuia watu wetu kuingia kusikiliza kesi.
Wanaingiza Askari kujaza mabenchi, wana interest gani na kesi hii!!!
Hii ni kesi ya kiongozi wetu, kwanini watu wake wazuiliwe kuingia kwenye kesi .
Tutalalamikia mahakama, Muhimili mwingine wa dola hauwezi kupanga nini kinafanyika kwenye muhimili mwingine.
Oyaaa hii kesi ishakuwa ngumu
Mahakama ya Kisutu na yenyewe inatuhumiwa kwa kughushi nyaraka kwenye kesi dhidi ya Mhe. Lissu
Kumbe ndo maana yule Hakimu Kiswaga alikuwa mkali sana + kumkandamiza Mhe. Lissu pale Kisutu kumbe behind the scene alikuwa na mambo yake na Mawakili wa Serikali leo wamepata aibu ya mwaka.
Wakili Katuga kanywea kama sio yeye.😂
@ChrissFundi Hizi ngwimba nimeishiwa sera kwa kweli 😂😂😂😂 hii kweli kataa wahuni na sasa viongozi wa ccm wote wamekuwa wahuni tu. Yani mtu mwenye akili utamuambie mkitaka katiba tuchaguweni cc yani mana yake msipo chaguliwa na watz hamko teyari kwa katiba? kwa sababu ya kujichagua wenyewe
WAMEPOTEA WAKO WAPI?
Ukifuatilia majina na sura za hawa vijana na viongozi wa chama chetu, wote wamepotezwa kwa mazingira yenye mashaka. Mpaka leo hii Jeshi la Polisi limekaa kimya bila kutoa majibu ya kina.
Ni dhahiri kabisa kuwa kimya hiki kinasababishwa na ukweli kwamba hakuna hata mtoto wa kiongozi mkubwa aliyeingia kwenye orodha ya waliotekwa na kupotezwa. Hii imesababisha kutokuwepo kwa dharura ya kuchukua hatua au kutoa maelezo kwa familia zao.
Jeshi la Polisi lina wajibu wa kikatiba na kisheria kulinda usalama wa raia wote bila upendeleo. Lakini leo hii, limeshindwa kuwalinda hawa vijana wetu, limekaa kimya kana kwamba maisha ya wananchi wa kawaida hayana thamani.
Tunataka majibu😭😭.Tunataka wahanga hawa warejeshwe salama kwa familia zao. Tunataka wahusika wote wawajibishwe.
Mliohusika na haya mateso na utekaji lazima mjue , haki haipotei, itatafutwa mpaka ipatikane.
#WhereAreThey
#FreeThemAll
#JusticeForTheDisappeared
#MashujaaDay
#NoReformsNoElection
@MariaSTsehai@HecheJohn Jambo ambalo watu wengi awajui kati ya hawa watu wawili @HecheJohn@TunduALissu Mmoja ni Hatari na Mmoja ni Tishio...show aliyokua anapiga Heche ndio ilipelekea Chadema kufungiwa..Jamaa sio wakawaida huyoo
@bbcswahili Mwazo wa mageuzi ya kweli na sio mageuzi ya kidalari dalari kama ya FAM na wale washenzi wengine walio hamia chauma kwn wale walikuwa madalari na watowa ramani kwa ccm ya kuwauwa wale wapinzani wa kweli ndani ya CDM. Ndugu muandishi amini ninalo kuambia kwa ssa CDM ndo wkt sahihi
Jeshi la Polisi @tanpol wamemsafirisha @ItsTemba kutoka Arusha kwasasa yupo kituo cha Polisi Gogoni- Kibamba
Kituo cha Polisi Gogoni ni maarufu sana kwasababu huwa kitumika kutesea watu lakin pia hata wakiteka baadhi ya watu huwa wanafichwa hapo.
#FreeGasperTemba
@RoseMakei@temba Yani polisi tz mchezo wao mchafu sana aisee wanajuwa leo watz wengi wapo mitandaoni kufuatia matamshi ya pole pole kuhusu viongozi wa ngazi ya juu kabisa ya ccm juu ushenzi wanao tufanyia watz kwa kuiba raslimali zetu ikaona ni bora watutowe mchezani kwa kumteka ndugu yetu shnz s
Kutoka kwa @MalisaGJ_@HecheJohn alisema vyama vyote vya upinzani tuungane kudai reforms kabla ya uchaguzi.
Yani wote tuseme #NoReformsNoElection. Lakini aliishia kutukanwa.
Leo watu walewale waliomtukana wanalia eti mgombea wao amekatwa. Mang'aa nyie. Si mlijifanya wajanja, mkaona reforms zinawachelewesha? Sasa mnalia nini? Tulieni dawa iingie.
Tuliwaambia CCM ni ileile lakini mkamua kujibebisha kwao. Mkasahau kuwa hata ukijibebisha kwa CCM wao wanafumua tu. Waulizeni NCCR walivyojibebisha 2020 wakaishia kufumuliwa kama sasaka. Hii iwe Fundisho maana mtajifunza umuhimu wa Reforms na mtakaa upande wa wananchi. Hata hivyo mmejifunza kwa style ya kenge, maana Kenge huwa hasikii hadi damu zimtoke masikioni. Bata, Wahed.!
#NoReformsNoElection #WalijibebishaWakafumuliwa #IweFundisho #TakatakaProMax
@PolepoleHumph Wahuni wanapaswa kukataliwa kweli kweli na wakihitaji uhuni watoke selikarini wawe kitaa huko ndiko kutawafaa kwn selikarini wanatakiwa watu wanao jiheshimu na walio fundwa hasa na maadili ya uma katika kulisimamia taifa na co vibaka kama waliyopo sasa japo co wote
‼️🚨KUTA ZA JERICO ZAANZA KUSHUKA - KiKOSI CHA UTEKAJI NA MAUAJI YATAJWA🚨‼️
Baada ya Balozi Polepole kutoa angalizo kuhusu kikosi maalum cha utekaji na mauaji, mdau ambaye yuko katika nafasi ya juu Usalama ameeleza kuwa kikosi hiki cha “wahuni” kimekuwa set up chini ya Waziri Salum na Abdul na wamechukua vijana waliowahi au ambao wapo Usalama wa Taifa , wengine wahitimu wa JKT lakini pia kuna majambazi sugu ambao wametafutwa na Mafwele na wameachiwa kwa masharti ya kufanya hii kazi!
Hawa kazi yao wakikuteka ni pamoja na kutesa, kuua na wakishaua mtu wanamtupa baharini (hii ya maiti kwenye kiroba Jangwani inaweza kuwa current ya Mto Msimbazi imerudisha) au kwenye pori iliyopo eneo husika mfano Serengeti kwa maeneo hayo au Selous na Mikumi
Hata @bonifacemwangi na @AAgather walichukuliwa Central Police na hawa wahuni na Mafwele ndo ana mawasiliano yao wakihitajika!
Tukumbuke @Sativa255 alipelekwa hadi Katavi. Na alipigwa risasi na kuachwa aliwe na simba wakali ila Mungu aliingilia kati! Sativa amekuwa akieleza dunia kuwa Mafwele ndo alikuja na kutoa amri asafirishwe
Sasa watu kwenye mfumo wanaogopa kushtakiwa na kuhusishwa na huu uhalifu! Na wako tayari kutoa taarifa ya kutosha!
Tunawasihi msikubali huu uhalifu! Leteni taarifa hata wapendwa wetu waliotekwa na kuuwawa mtuambie walitupwa wapi!
@SuluhuSamia hakuna njia utasalimika bila kuwajibishwa kwa mauaji haya! Hii ni crimes against humanity na huwezi kusema hukuwa unajua!
Na ninyi waovu mjue siku imekaribia #TutaelewanaTu