@MarcEden4@HildaNewton21 Ukioa ndio Utakuja kujua thamani ya mke na mama wa watoto wako.Kama vip Muulize baba yako thamani ya mke wake ambaye ni mama Yako mzazi...Mungu akuepushe na hiyo tabia mwanangu.
@Kirikuu20#SISIniWALE Tuliodondoka, Akatushika Mwishowe Akatubeba π
#sisiniwale Rap Version From Me 'XOLLY'
BwanaHarusiiiiiiiiiiii π§¨
Original Version By @phina__tz π
@CpbBOB @joblessforsure Nahisi ni Mambo ya kujiongeza tuu msee https://t.co/Pdy3cxr0TU kama wale wanaoshinda kubeti matokeo ya mechi mbalimbali duniani.