@MakereFelix@MarekaMalili Ulimwengu wa sasa wa digital umesababisha vijana kusema sana kuliko kusikiliza, madhara sasa ya ujuaji huo ni kuharibikiwa na mambo kwa maamuzi ya haraka yaliyojaa tamaa/roho mbaya inayosababishwa na wivu kuliko kujifunza. Mwisho kabisa tunakata tamaa na kuamini kila mtu ni mbaya
@MakereFelix@MarekaMalili Angalau wewe useme! Ufugaji wa bashe ni wakurithi tangu enzi na enzi, kuhusu ukubwa wa eneo na mradi ni passion yake hivyo lazima afanye kwa ukubwa na ufanisi mkubwa kwani fedha Mo alisema zipo bank hivyo ni jukumu lako kujua zinachukuliwa kwa kutumia nini.
Ukianza kuishi maisha yako kwa ajili ya moyo wako badala ya macho ya jamii, utagundua umepoteza muda mwingi sana kujali vitu ambavyo sio majukumu yako.
Watu watakuhukumu.
Wengine watakutazama na kupata inspiration.
Lakini mwisho wa siku, hakuna hata mmoja wao anayelipa bili zako.
Ishi maisha yako, Sali Zaidi, Fanya yako.
Eeh Mwenyezi Mungu niongoze kwenye mwendelezo ulio bora,kiroho,kiuchumi,katika kazi,mahusiano na tabia.
Kila nilichojenga kwa nia njema, kiendelee kukua kwa neema yako.
Na kila nilichokianzisha ambacho si mapenzi yako, nipe hekima ya kukiacha.
Nipe neema ya kudumu,Amina🙏🏼
Nimekuwa na wasaa mzuri wa kuzungumza na kushiriki burudani na michezo pamoja na wananchi mjini Zanzibar leo jioni, mara tu baada ya kuwasili kutokea Dodoma. Ahsanteni sana kwa mapokezi mazuri na kwa upendo wenu.
Pamoja na mambo mengine, nikiwa Zanzibar nitaungana na wananchi katika Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival), jukwaa muhimu linaloendelea kuwakutanisha wananchi na wadau mbalimbali katika kuenzi utamaduni, michezo, sanaa na kuimarisha mshikamano wetu.
@rollymsouth Tembea kwenye njia na matendo yampendezayo Mungu atakutengeneza vizuri kila mahali si tu kuongea ata namna ya kuishi maisha mazuri.. atakupa maarifa na akili ambavyo wewe ulieenda shule hauna!
@M2202Jh@BillyTronix1 Uzuri wa Aritas lymo wa madawa huwa hawa watumiaji na vijana huwakanya na saa ingine huwapa posho waache hayo mambo, ila kwa muuzaji na msafirishaji bora shetani kuliko MWAMBA LYMO NA VIJANA WAKE WA NUSANUSA UTATUBUU TU.