29thOctπ―πΉπΏπ―
MWANAHARAKATI ... gaidi
SHE's NOT my PRESIDENT
my MIND is expeditious than HANDS... If I miss couple WORDs in sentence fill the BLANKS!
#TANZANIA: NCHI HII ILI UWE SALAMA LAZIMA UWE CCM, KUNA KIONGOZI WA DINI ANA KIKUNDI KINAITWA MBWA MWITU NA HAJACHUKULIWA HATUA - MAHINYILA
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Taifa (BAVICHA), Wakili Deogratias Mahinyila hii leo Julai 13, 2026 akihojiwa na Global Tv alipoulizwa swali na msikilizaji juu ya uwepo wa mikutano ya hadhara ya CCM katika kijiji ambacho hakukitaja jina, Mahinyila alijibu kuwa ili uwe salama kwenye nchi hii lazima uwe mwana CCM.
Aidha, Mahinyila amesema wapo viongozi mbali mbali wa CCM waliowahi kutoa kauli mbaya na hawakuchukuliwa hatua zozote na mamlaka.
Pia, Wakili amesema kuna kiongozi mmoja wa dini fulani ameunda kikundi kilichoitwa 'Mbwa Mwitu' na kukitambulisha kwa Umma kinyume kabisa na sheria za nchi lakini mpaka sasa hajachukuliwa hatua zozote kwa sababu tu yuko upande wa chama cha Mapinduzi.
Credit: Global Tv
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Mama wewe lia na WAZEE wenzio...
Mark my Words... That day when SISI WANANCHI TUTAIRUDISHA NCHI YETU..... HAIKO MBALI!!
Nakuombea MUNGU so you see the RECKONING your PEOPLE in GREEN and Gvt will FACE!!!
Mnafikiri mna deserve peke yenu KUISHI kwa AMANI na right to have a FUTURE
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Nimeangalia hii video ya tangazo la Naibu kuomba hela, dah! Hivi Chadema inajua kuwa ni Taasisi hii π
Kwenye chama hiki hakuna wanachama wa kawaida wenye vipaji mpaka mkachukue Kiongozi mkubwa π nyie watu muwe serious basi. Mnataka tuwakosee tu.
Kwahiyo sasa ghafla ikatokea mikutano imeruhusiwa, mtafanya matangazo mapya ya kuomba hela ya aina nyingine tena? π.
Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Dkt. Ezekiel Kyogo kutoka ofisi ya Polisi Jamii Makao Makuu ya Polisi Dodoma akizungumza na waumini wa kanisa la Fresh Spring Fellowship (NGOME YA YESU) ikiwa ni sehemu ya kupatiwa elimu ya Polisi jamii.
Mwalimu Laurent Joseph Maarufu kama MNEGRO anashikiriwa na Polis kutokana na Ukosoaji wake kwa SERIKALI ,na Kumkosoa IGP
*CWT HAINA MSAADA KWA WALIMU, LABDA IPEWE JUKUMU LA KUSULUHISHA NDOA NA KUWATAFUTIA WACHUMBA WALIMU NCHINI.*
Tembea na *Gunini* hapa.
Leo ilikuwa siku ya kipekee sana, Nimeamka nikiwa imara sana kiafya. Ni siku ambayo nimemkumbuka *Mwl. Laurent Noti Joseph (Mnegro)* mwalimu kutoka shule ya Sekondari Ikungulyabashashi anayeshikiliwa na jeshi la polisi katika kituo cha polisi Bariadi.
Nikafunga safari kwenda kituo cha polisi kumsalimia, nikiwa njiani rafiki yangu mmoja akawaa amenipigia simu nikamjulisha nipo njiani naelekea kituo cha polisi kumsalimia Rafiki na mwl Laurent Noti Joseph (Mnegro) ambaye nimejulishwa yupo kituoni hapo.
Basi rafiki yangu akaniambia tukutane tukamuone.
Tumefika kituoni hapo tukaambiwa haturuhusiwi kuonana naye, ila kama ni chakula tunaruhusiwa kumpelekea ila sio kuonana naye.
Kutokana na ushamba wetu wa kutokujua sheria tukauuliza vipi kwa upande wa mwanasheria akipatikana? Tukiambiwa hata mwanasheria/wakili kuna taratibu zake.
So hakuna ndugu, jamaa au rafiki anaruhusiwa kuonana naye.
Mimi sio msomi wa sheria, japokuwa nina sifa za kwenda Bungeni kutunga sheria, kwa maana najua kusoma na kuandika pia na kuhesabu.
Japokuwa mimi sio mwanasheria na sijui taratibu za kiutumishi zikoje. Ila hofu yangu ni kwamba huyu Mwl. Akikaa mda mrefu bila kuhudhuria kazini anaweza kukosa sifa za kuwa mwalimu. Kitu ambacho kitayumbisha hali za watu wanaomtegemea. Tukumbuke Mnegro ni mme, baba na mtoto wa wazazi wake macho ya wengi yanamtazama. Japo kuwa sijui kinachomsibu kwa maana hata jeshi la polisi halijatoa taarifa kwa umma nini Mnegro kinamsibu.
Sijajua kama umma una haki ya kupata taarifa juu ya kilichosababisha kukamatwa kwake. Maana mimi sio mwanasheria.
Nimekuwa na ushuhuda mwingi sana kwa chama cha walimu nchini kutokujali shida na changamoto za walimu wao. Mjumbe wao wanayemkata hela kila mwisho wa mwezi ety akipata shida wamsaidie yamekuwa ni maneno na hayana uhalisia. Hata kwa huyu mwl. CWT wamekaa kimya kama hawajui chochote. Pia nina ushuda wa mwl mwingine alitapeliwa akapeleka malalamiko kwao hakuna kilichofanyika.
Tangu enzi na enzi vyama vya wafanyakazi vilikuwa na nguvu za kutetea haki za wafanyakazi na kufanya mabadiliko panapohitajika.
Kwa kutumia nafasi hii naziomba taasisi mbalimbali za kutetea haki, mawakili mbalimbali wajitolee kumsaidia mwl huyu huduma za kisheria.
Ieleweke sio Gunini anasema Mnegro hana hatia la hasha! Kama amefanya kosa ahukumiwa kwa haki kwa mujibu wa sheria na taratibu tulizojiwekea.
Asanteni sana!
*Gunini Masunga*
Mkulima wa pamba kutoka mtaa wa Itongo Bunamhala.
JUMBE ZINASOBABISHA AENDELEE KUSHIKIRIWA
@MariaSTsehai@HildaNewton21 @HecheeJohn @godbless_lema@lifeofmshaba@Sativa255
Nimesikiliza ile Interview ya Majid
He might be a good Banker but you get hints of those people HAWAPENDI kuwa questioned.
The way he was speaking about his customers who complained about these kinda issue in a very deragatory Manner... Nikawa najiuliza these peeps feed you?
Nilivyo tapeliwa na CRDB BANK.
Mwaka jana tarehe 26/02/2025, nilifanya malipo ya serikali kupitia control number ilikua shilingi 100,000/-
Pesa ikakatwa baaada ya kukagua nakuja gundua malipo hayajafika, nilipo wapigia wahusika nilikokua nalipia nikaelekezwa kuwasiiana na bank
@tommytraveler21 Mkali, nina kama week hivi nimenyoa dongo oya ngozi ya kichwa inauma kinoma noma hakuna upele una kuna maumivu shida inaweza kuwa nini, maana na wewe si unapiga dongo