@Chopawang Shetani ana wawakilishi wake dunia nzima , na kuna serikali zinamuwakilisha shetani , usiseme vitabu ndio vipo lukuki , juhudi na harakati zake ni nyingi kupita maelezo
@HildaNewton21@Mwabuk2Boniface Tumeee !!!
Tumeee !!!
Tumeee !!!
Katika fikra zenu mbovu shughuli ya watanzania ni tume tu , tuko busy na maisha tukutane 2030 , na nyie endeleeni kula vya bure huko nchi za watu , Bure ghali