@MarekaMalili Hii kitu naisema kila mara hatuna standard kabisa kama jamii....unashangaa mwizi ndo anakemea wizi...halaf yy anajua ni mwizi anaowahubiria wanajua ni mwizi ila wanamsikiliza na kumpigia makofi!
@MiroTanzania Chief sio tu ishu ya ajira ila hata wenye ajira kipato hakikidhi mahitaji na ndo wanaongoza kubet....serikali inataka wawe wezi wa
Mali za umma
@BillyTronix1 Kimsingi sijui hata kama ni kujitetea anajitetea kuhusu nn?? Maana shutma za wanaharakati ni kua tweet yake imesababisha damage kubwa na imetumika kuharamisha kilichotokea 29/10...hakuna mahali wamepinga kama Ford wanatoa fund! Na hata madenge hakusema kama watu walilipwa!