BREAKING: Serikali ya Samia inaifilisi nchi. Ziara ya Lindi na Mtwara imeligharimu taifa zaidi ya 2.8Billion. Asilimia kubwa ya wahudhuriaji wanasombwa kwa malori na mabasi. Wamelipwa 20k. Kadhalika Watumishi wote mikoa ya kusini nao wanalazimishwa kushiriki na wanalipwa per Diem
RPC Iringa nakupa taarifa kuwa muda huu Levino(mbele) na Chengula(nyuma) wanaingia kwenye hiyo lodge hapo Iringa mjini kukutana na watu waliowaleta kuchoma moto soko!
Hawa watu ni wa kushughulikia haraka sana kabla hawajaleta maafa ya kutisha!..Kama mmeshijdwa kazi semeni tujue
@eastafricatv Timu ya wanawake kiukweli haithaminiwi kama ya wanaume ubaguzi ni mkubwa sana wakati timu inafanya vzr sana hata viongozi wenyew hawaonyeshi kabisaa kuisapoti timu